Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,941
- 31,907
yaaani😂😂😂😂😂 😂
Unakula huku unalia, ni raqha mzee.!!
yaaani😂😂😂😂😂 😂
Unakula huku unalia, ni raqha mzee.!!
Hahaha wewe unataka kupaisha msamaha, tena akiona hii comment yako ndio anagoma kabisa kusameheHebu mtag kwanza huyo mdada then tuendelee na ushauri
mie sina wa JF 😂😂😂😂Na wewe ngoja yule wa kwako wa JF apindue meza!
atakua ameshajijua 😂😂😂😂😂😂yuko tu anamcheki jamaa anavyofokaHebu mtag kwanza huyo mdada then tuendelee na ushauri
Kuna watu ni hard kwenye mahusianoUshauri wenu wakuu
Umemuambia ukweli inawezekana it's true alikuwa anatafutiwa sababu, hivii mli solve hiyo issue hapo juu Zack??
Tulikutana humu, tushakwaruzana sana kwa masuala kadhaa ya humu jf ila tunaelewana.Pole sana, kama unachosema ni kweli, basi atakua alikua anakutafutia sababu, wivu usio na sababu wakati mwingin ni utumwa
Kwani mkuu ulikutana nae hapa Janvini?
Kama ulikutana nae hapa, mlitakiwa mkubaliane kwamba ya kwenye mtandao myaache humu humu mtandaoni
Mmewahi kutofautiana kwa jambo kama hilo kabla ya kukuacha?
Nimekumbuka kitu, hizi stress hizi acheni tu... Hiyo siku niku full stressed afu nikapika tambi wee kwani zilipita kooni!! Yan ilikuwa nikila nahisi kama zinaenda kuninyonga 😂😂😂😂 😂
Unakula huku unalia, ni raqha mzee.!!
😂 😂Siri kubwa sana hii unatoa. Kama lishemeji liko humu halafu liwe linapenda BBWs linaweza kukunenepesha kirahisi sana. Linakusiteresi makusudi tu halafu linajaza mapochopocho ndani basi. Mwezi mmoja ushaongeza kilo 10. Na ujao tena 10 basi kwisha kazi halafu jamaa linaendelea kuwezana tu kwa raha za lenyewe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
😂😂😂Nimekumbuka kitu, hizi stress hizi acheni tu... Hiyo siku niku full stressed afu nikapika tambi wee kwani zilipita kooni!! Yan ilikuwa nikila nahisi kama zinaenda kuninyonga 😂😂😂
Ikabidi niagize chakula pendwa ' chips kuku' waii mbona nilikula huku nalia cha ajabu nilivyoshiba nikawa sawa kimtindo na nikalala usingizi mzuri tu
HAMIDA huyo ???Nilikua najiamini kua mm ni mtu mgumu sana haitakuja siku mwanamke aniyumbishe hisia na furaha yangu.
Yet nikakutana na huyu mwanamke asee nilimpenda sioni kama dunia hii kuna mwanamke mzuri zaidi yake.
Omba yasikukute ndugu kupenda sana mwanamke, nimeamini wanaume sisi ni wazaifu sana moyoni. Leo kanimwaga mpenzi wqngu nimpendae, Nimelia.Chakula mpaka muda huu hakipandi kabisa nawaza mawazo ya kufa Naona bila yeye maisha hayaendi wakuu, Nimeshikwa na Homa kali mie sielewi hzi siku nitaishije.
Nisaidie wakuu ushauri nimrudishe nateseka mno Wanawake kueni na huruma basi kwetu tunaowapenda
Nifanyeje jamanj
Dunia nzima inakadiriwa kuwa na watu zaidi ya billion 7, kati ya hao 50.4% ni wanawake. Kwanini unaruhusu mtu mmoja tu ahatarishe uhai wako aiseee! Maisha ndio haya haya mkuu tafuta kifaa kingine maisha yasongeNilikua najiamini kua mm ni mtu mgumu sana haitakuja siku mwanamke aniyumbishe hisia na furaha yangu.
Yet nikakutana na huyu mwanamke asee nilimpenda sioni kama dunia hii kuna mwanamke mzuri zaidi yake.
Omba yasikukute ndugu kupenda sana mwanamke, nimeamini wanaume sisi ni wazaifu sana moyoni. Leo kanimwaga mpenzi wqngu nimpendae, Nimelia.Chakula mpaka muda huu hakipandi kabisa nawaza mawazo ya kufa Naona bila yeye maisha hayaendi wakuu, Nimeshikwa na Homa kali mie sielewi hzi siku nitaishije.
Nisaidie wakuu ushauri nimrudishe nateseka mno Wanawake kueni na huruma basi kwetu tunaowapenda
Nifanyeje jamanj
Mimi sioni kama suala lenu ni zito kiasi hicho, labda tu huyo mpenzio amepoteza interest na wewe au ameamua kuchukua hamsini zake, kama ni swala la wivu kuhusu wewe kuchangia humu jamvini, anatakiwa ajue kwamba hii ni social network na kila mtu yupo huru kuchangia as long haujasaliti penzi lenuTulikutana humu, tushakwaruzana sana kwa masuala kadhaa ya humu jf ila tunaelewana.
Na nilivyo na kihedemswede cha kutag watoto wa watu..!? Walaqhi' nimekoma, sema nawe tuambie I'd yako nyingine isije kuwa ni Don Clericuzio maana nilimtag Jana akii.!! 😂 😂
Maskini..hapa sasa huruma imeniingia..😢😢😢pole aiseTulikutana humu, tushakwaruzana sana kwa masuala kadhaa ya humu jf ila tunaelewana.
Sasa unapoonesha udhaifu wako hapa hadharani na yeye ni member hapa si ndio unazidi kumpa kichwa? Jikaze mkuuOk. Ni Member humu nilichangia uzi fulani ndio ikawa sababu
Wewe ndio unaona mnaendana mwenzio anaweza akawa anakuona kinyago tu.Dunia hii sioni kama kuna mzuri zaidi yake hafu tunaendana kila kitu