Siamini kama leo naumwa kwaajili ya mapenzi

Siamini kama leo naumwa kwaajili ya mapenzi

Pole sana, kama sababu ya yeye kukuacha inazungumzika, jaribu kuzungumza nae muyamalize as long umekiri kwamba unampenda, not sure kama na yeye anakupenda namna hiyo

Kama sababu ya kukuacha haizungumziki au amekataa kurudisha moyo wake basi rekebisha pale ambao ulikosea na ujipe muda kabla ya kuanza mahusiano mengine la sivyo utatumbukia pabaya

Ila ukiamua unamrudisha tu kama kweli anakupenda kwa dhati, tumia mbinu za kiume, sisi wanawake ni wepesi pia tunapopenda unless uwe umefanya kosa lisilosameheka kama kucheat ila kama ni makosa ya kawaida, usijiumize kuwaza, ingia chimbo tafuta mbinu zote za ki gentlemen halafu mvae
Kwa sasa mtashauri mpaka makoo yawakauke lakini hakuna kitakachobadilika. Love is nothing but a chemical reaction. Yaani kwa sasa anawachora tu na anawaona maboya balaa. Labda akija kutulia na makemikali yameanza kujibalansi ndiyo kidogo mnayomwambia yataanza kuwa na maana.
 
Mke mwenza umenikumbusha 'no matter what you're passing through make sure you eat first'..!

Basii mie stress zangu mbaya, nikiwa tu stressed nakimbilia kula, fast foods na bites zitanikoma.! Stress zikiisha najikuta nimenenepa badala ya kukonda eti..
kama mimi nikiwa na stress hua nakula kwa hasira 😂😂😂
 
Ana wivu juu yangu +++
Shida ni kuchangia uzi fulani. Kaniblock kila sehemu
Kwani ni member mwenzetu humu jamvini? Niunganishe nae i promise ntawapata1nisha n penzi lenu litarudi upyaa kama mmekutana leo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilikua najiamini kua mm ni mtu mgumu sana haitakuja siku mwanamke aniyumbishe hisia na furaha yangu.
Yet nikakutana na huyu mwanamke asee nilimpenda sioni kama dunia hii kuna mwanamke mzuri zaidi yake.
Omba yasikukute ndugu kupenda sana mwanamke, nimeamini wanaume sisi ni wazaifu sana moyoni. Leo kanimwaga mpenzi wqngu nimpendae, Nimelia.Chakula mpaka muda huu hakipandi kabisa nawaza mawazo ya kufa Naona bila yeye maisha hayaendi wakuu, Nimeshikwa na Homa kali mie sielewi hzi siku nitaishije.
Nisaidie wakuu ushauri nimrudishe nateseka mno Wanawake kueni na huruma basi kwetu tunaowapenda
Nifanyeje jamanj
Mimi wangu nampenda sana lakini kwa dharau alizoanza kunionyesha jana na leo moyoni nimesema enough! Mda simrefu nampiga chini kabla hajaniwahi japo maumivu yake hayaelezeki. Mkuu pole sana, najua hali unayopitia.
 
Back
Top Bottom