Siamini kama leo naumwa kwaajili ya mapenzi

Pole Sana maumivu ya mapenzi ni mabaya mno Bora uvunjike hata mguu utapona Ila maumivu ya hisia ni mabaya Kama mtu anachoma moyo na pasi ya Moto, nikupe pole hapo ndio umekuwa mkubwa Sasa Lia uwezavyo, huzunika usitake kupona haraka, na maumivu yakiisha usiende kutenda wengine vibaya wasio na hatia. Pole sana
 
mkuu badala ya kumpa pole nakumfariji we unamwambia hivo, dah! inasikitisha sana na hii ndo wanawake tulobaki nao zama hizi
Sasa hivi hata mumpe ushauri gani hautomsaidia.

Kama hajanywa maji anywe,kama anapenda mpira basi aende angalia mpira na washkaji zake,yani ajichanganye tu huko....aache mambo ya ajabu atakufa sasa hivi.
 
Mke mwenza umenikumbusha 'no matter what you're passing through make sure you eat first'..!

Basii mie stress zangu mbaya, nikiwa tu stressed nakimbilia kula, fast foods na bites zitanikoma.! Stress zikiisha najikuta nimenenepa badala ya kukonda eti..
Ina maana ukiwa na siteresi ndiyo unanenepa?
 
Pole Sana maumivu ya mapenzi ni mabaya mno Bora uvunjike hata mguu utapona Ila maumivu ya hisia ni mabaya Kama mtu anachoma moyo na pasi ya Moto, nikupe pole hapo ndio umekuwa mkubwa Sasa Lia uwezavyo, huzunika usitake kupona haraka, na maumivu yakiisha usiende kutenda wengine vibaya wasio na hatia. Pole sana
Naapa mbele ya Malaika zangu lazima nilipize
 
Pole Sana maumivu ya mapenzi ni mabaya mno Bora uvunjike hata mguu utapona Ila maumivu ya hisia ni mabaya Kama mtu anachoma moyo na pasi ya Moto, nikupe pole hapo ndio umekuwa mkubwa Sasa Lia uwezavyo, huzunika usitake kupona haraka, na maumivu yakiisha usiende kutenda wengine vibaya wasio na hatia. Pole sana
Busara tupu [emoji1547][emoji1547]
 
Back
Top Bottom