Siamini kama leo naumwa kwaajili ya mapenzi

Siamini kama leo naumwa kwaajili ya mapenzi

Kakuwahi,katika swala la kuachana yule anaewahi kumuacha mwenzake lazima alieachwa akione cha moto,pole sana kwa kupenda usipopendwa,maana kwa maelezo yako ni kuwa ulimpenda sana,je ulijaribu kuangalia kama mwenzio nae alikupenda kihivyo au ndio yale mambo ya kupenda na kuwahi kula tunda ukidhani kuwa itasaidia kumfanya akupende...
 
Sasa hivi hata mumpe ushauri gani hautomsaidia.

Kama hajanywa maji anywe,kama anapenda mpira basi aende angalia mpira na washkaji zake,yani ajichanganye tu huko....aache mambo ya ajabu atakufa sasa hivi.

Eti atakufa sasa hivi. Kwa Jina la Yesu hiyo roho ya kifo na imtoke. Kijana wetu ataishi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Sina mwingine zaidi yake tatizo,Siwezi fanya mapenzi na mwingine ghafla ghafla hua sipo hvo
Hata ulifanya na kumi ukimaliza tu Hilo tendo maumivu yanaanza, chakukushauri tulia usiingie kwanza kwenye mahusiano mpaka upate nafuu, waweza kuwa Malaya ukapata maradhi na ukapata mwingine ukanasa Tena kwake ukaumizwa tena
 
Sasa hivi hata mumpe ushauri gani hautomsaidia.

Kama hajanywa maji anywe,kama anapenda mpira basi aende angalia mpira na washkaji zake,yani ajichanganye tu huko....aache mambo ya ajabu atakufa sasa hivi.
mkuu ungemwambia hata aje pm umfariji, hapo stress zingekata mapema mno, fanya hivo uokoe jahazi mkuu.
 
Msaidieni jamani, washaondoka wawili kwa masihara masihara tu kama haya.
 
Hii ni ID nyingine ya Umomi ama?

Sasa ukijiua ndiyo itasaidia nini? Unamuacha mwenziyo ndiyo kwanza anahondomolwa na majamaa wakati we unaliwa na funza.

Na kama kweli uko siriazi na hii ishu ya kujiua, mpigie Bi mkubwa wako au kiongozi wako wa kiroho umweleze. Au nenda hospitali ya karibu hapo ukaonane na daktari ye yote watakusaidia.

Binti mwenyewe umemwambia kuwa unataka kujioff kwa ajili yake akasemaje?
Umomi mwenyewe Yuko hai Sasa, watoto wakiume wamekuwa nyororo na dhaifu mleta mada anahitaji viboko wallah, tatizo halikimbiwi Lina soviwa
 
Nilikua najiamini kua mm ni mtu mgumu sana haitakuja siku mwanamke aniyumbishe hisia na furaha yangu.
Yet nikakutana na huyu mwanamke asee nilimpenda sioni kama dunia hii kuna mwanamke mzuri zaidi yake.
Omba yasikukute ndugu kupenda sana mwanamke, nimeamini wanaume sisi ni wazaifu sana moyoni. Leo kanimwaga mpenzi wqngu nimpendae, Nimelia.Chakula mpaka muda huu hakipandi kabisa nawaza mawazo ya kufa Naona bila yeye maisha hayaendi wakuu, Nimeshikwa na Homa kali mie sielewi hzi siku nitaishije.
Nisaidie wakuu ushauri nimrudishe nateseka mno Wanawake kueni na huruma basi kwetu tunaowapenda
Nifanyeje jamanj
Pole sana, kama sababu ya yeye kukuacha inazungumzika, jaribu kuzungumza nae muyamalize as long umekiri kwamba unampenda, not sure kama na yeye anakupenda namna hiyo

Kama sababu ya kukuacha haizungumziki au amekataa kurudisha moyo wake basi rekebisha pale ambao ulikosea na ujipe muda kabla ya kuanza mahusiano mengine la sivyo utatumbukia pabaya

Ila ukiamua unamrudisha tu kama kweli anakupenda kwa dhati, tumia mbinu za kiume, sisi wanawake ni wepesi pia tunapopenda unless uwe umefanya kosa lisilosameheka kama kucheat ila kama ni makosa ya kawaida, usijiumize kuwaza, ingia chimbo tafuta mbinu zote za ki gentlemen halafu mvae
 
Yes,
Nikiwa na stress ndiyo muda pekee huwa siwazi hii kitu nakula iko na sugar mingi ama fat mingi..! Inaitwa 'emotional eating'..!
Siri kubwa sana hii unatoa. Kama lishemeji liko humu halafu liwe linapenda BBWs linaweza kukunenepesha kirahisi sana. Linakusiteresi makusudi tu halafu linajaza mapochopocho ndani basi. Mwezi mmoja ushaongeza kilo 10. Na ujao tena 10 basi kwisha kazi halafu jamaa linaendelea kuwezana tu kwa raha za lenyewe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Back
Top Bottom