Siamini kama leo naumwa kwaajili ya mapenzi

Siamini kama leo naumwa kwaajili ya mapenzi

Unaendeshaje gari bila kuwa na spare tyre? Mbona unapenda kuhatarisha maisha yako kijana? Ndio uzuri wa kuwa na akiba, ukiishiwa kabisa unaenda kuchukua tu pesa yako ya akiba unaitumia!

Shukuru sana sana kuna watu.....
 
Nilikua najiamini kua mimi ni mtu mgumu sana haitakuja siku mwanamke aniyumbishe hisia na furaha yangu. Yet nikakutana na huyu mwanamke asee nilimpenda sioni kama dunia hii kuna mwanamke mzuri zaidi yake.

Omba yasikukute ndugu kupenda sana mwanamke, nimeamini wanaume sisi ni wazaifu sana moyoni. Leo kanimwaga mpenzi wangu nimpendaye, nimelia. Chakula mpaka muda huu hakipandi kabisa nawaza mawazo ya kufa. Naona bila yeye maisha hayaendi wakuu, Nimeshikwa na Homa kali mie sielewi hzi siku nitaishije.

Nisaidie wakuu ushauri nimrudishe nateseka mno Wanawake kueni na huruma basi kwetu tunaowapenda

Nifanyeje jamani?
Haya ndo madhara ya wazi ya kuwa na demu mmoja, iwe fundisho Kwa wengine
 
Unaendeshaje gari bila kuwa na spare tyre? Mbona unapenda kuhatarisha maisha yako kijana? Ndio uzuri wa kuwa na akiba, ukiishiwa kabisa unaenda kuchukua tu pesa yako ya akiba unaitumia!

Shukuru sana sana kuna watu.....
Sio kila mtu anapenda mitaara
 
Siri kubwa sana hii unatoa. Kama lishemeji liko humu halafu liwe linapenda BBWs linaweza kukunenepesha kirahisi sana. Linakusiteresi makusudi tu halafu linajaza mapochopocho ndani basi. Mwezi mmoja ushaongeza kilo 10. Na ujao tena 10 basi kwisha kazi halafu jamaa linaendelea kuwezana tu kwa raha za lenyewe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
The Don kama The Don
 
Et utaishije,Kwan Ulikuwa unamtegemea kmapenz mpaka kiuchum,
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mke mwenza umenikumbusha 'no matter what you're passing through make sure you eat first'..!

Basii mie stress zangu mbaya, nikiwa tu stressed nakimbilia kula, fast foods na bites zitanikoma.! Stress zikiisha najikuta nimenenepa badala ya kukonda eti..
 
kijana mwanaume lazima uwe na mbinu konki, moja wapo ni kuwa na demu Zaidi ya mmoja ila mimi nilikuwa nina mademu kama wote na nilikuwa sipendi kiviiiiileee kawaida tu inapotokea demu kakubwaga unapotezea laifu linaenda ila pole jitaidi kula na kunywa maji
 
Unaweza ukadhani mtu anakupenda Sana...Mimi myluv huwa namwambia nampenda Sana lakini.kiukweli nipo.nae basi TU..he isn't my choice.. nikipata better option namtupilia mbali...Ila anadhani nampenda Sana...

Mtu kukwambia nakupenda Mara Mia haimaanishi kuwa anakupenda kweli...
 
Kaka natamani ingekua rahisi yaani kiukweli nawaza kujiua tu najaribu pambana na mawazo haya[emoji22][emoji22][emoji22]
Ukiona mtu kafa kwa mapenzi usimuone mjinga kabisa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli mapenzi hayana baunsa lol
Pole sana utamsahau na utasonga mbele
 
Kaka natamani ingekua rahisi yaani kiukweli nawaza kujiua tu najaribu pambana na mawazo haya[emoji22][emoji22][emoji22]
Ukiona mtu kafa kwa mapenzi usimuone mjinga kabisa
Dunia Ni Kitu Gani? Magari, Nyumba, Wanawake Na Anasa Zote Ni Vitu Vya Kupita, Tutavutumia Na Tutaviacha Watakuja Wengine Nao Watavimia Na Kubaki Historia Kama Sisi, Kuumia Lazima Uumie Ila Fanya Iwe Kama Somo Kwako.

Kama Mtu Unafiwa Na Mama Yako Kipenzi Aliyekulea Tangu Ukiwa Na Miaka 0 Na Unapita Muda Unasahau Machungu Yote Na Maisha Yanaendelea. Komaa Maumivu Yataisha Na Itakaa Sawa Japo Huenda Ikachukua Muda Mrefu.

Ukipigwa Cha Mbavu Na Mtu Uliyempenda Ukakaa Kimya Hapo Unakuwa Umemtumia STRONG MESSAGE kwake Kwamba Unaweza Ukaishi Bila Yeye. Kaa Kimya Uchune Hata Ikipita Mwaka Atakutafuta Huyo Mwanamke, Invest In Yourself Fanya Maendeleo Na Mambo Ya Msingi.

Muda Ni Mwalimu Mzuri Sana. Pole Sana, Hili Nalo Litapita. Overrrrr!!!
 
Back
Top Bottom