Siamini kama leo naumwa kwaajili ya mapenzi

Siamini kama leo naumwa kwaajili ya mapenzi

Na yawezekana anachangia kwenye huu uzi pia, au mleta uzi kichwa chake ni kama cha Mossad, amelata uzi A kumbe malengo yake ni B.
😂😂😂
 
If he isn't your choice then why ulimkubali? Huoni unajiumiza mwenyewe aisee!! Acha hizo mambo dada maana hapo humkomoi huyo mwanaume ni unajikomoa we mwenyewe kimwili na kihisia.

Unless iwe ni huwezi kujitegemea mwenyewe kimaisha ndiyo maana umejikaliza sehemu siyo coz unajua mwenyewe kinacho kuweka hapo.
Word
 
Unaweza ukadhani mtu anakupenda Sana...Mimi myluv huwa namwambia nampenda Sana lakini.kiukweli nipo.nae basi TU..he isn't my choice.. nikipata better option namtupilia mbali...Ila anadhani nampenda Sana...

Mtu kukwambia nakupenda Mara Mia haimaanishi kuwa anakupenda kweli...
Ni vizuri kumwambia mapema kama humpendi ili atafute anayempenda.
Usimpotezee muda Mtoto wa Watu,siyo vizuri hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wa ajabu sana aisee, unapataje sasa hisia hata ya gegedo au kiss kwa mtu usiempenda, hata awe bilionea mimi anipitie hukooo akatufute ampendae
Wengine hufanya wakiwa na hamu na yoyote na upendo hawana kAbisa yani
 
Mpenzi anakutesa hivyo, haya angekuwa mke wa ndoa, si ungejinyonga kabisa na kamba uliyojinyongea ingeshauzwa sh.20m/=.
 
Una moyo wa ajabu, unawezje kuwa na mahusiano na mtu usiempenda tena unapata na courage ya kumwambia kwamba unampenda sana

Katika vitu vimenishinda ni kupretend love, kama sina hisia na mtu wala simpendi ataishia tu kunitazama maana hata chance ya kunisemesha simpi, siweziiiiii kabisaa tena naona kinyaa kuwa na mahusiano na mtu nisiyempenda hata awe na kitu gani wala hanipati

Mwisho wa siku unajidanganya wewe maana you are laying with your heart, utapata magonjwa ya moyo bure maana you will never be happy in that relationship

Kuwa na mtu usiempenda ni kujitakia maisha ya huzuni na masononeko na majuto pia, maana hata afanye nini you will never see any good in him/her

Kila atakachofanya utakiona negative, na utaishia kuidhi a negative life

Nimebaki tu nakutafakari,
Sioni future nae... Dini zetu Ndo shida. Natafuta namna ya kumuacha TU. Siwezi kuwa nae kabisa kwa future..No
 
Wengine hufanya wakiwa na hamu na yoyote na upendo hawana kAbisa yani
Sio Kwamba namchukia kuwa nikimuona natema mate chini..hapa. Ila namwambia nampenda pia but yeye aanataka kutengeneza future na Mimi.. Mimi sitaki
 
Sioni future nae... Dini zetu Ndo shida. Natafuta namna ya kumuacha TU. Siwezi kuwa nae kabisa kwa future..No
Kwangu mimi Sioni kama dini ni iigezo katika mahusiano, ila.kwa kuwa mwenyewe umekiri kwamba huoni future, ni bora ukamweleza mapema, ili asipoteze muda kukusubiri, na pia tafuta njia ya kumweleza pasipo kuumiza hisia zake, ndio ataumia lakini ukimwacha ghafla bila kumpa sababu au kwa kumpa sababu ambazo zinavunja moyo naamini ataumia zaidi
 
Kufa kwa ajili ya mapenzi ni ujinga yaani vijana wa siku hizi mnataka kuwe na somo la mapenzi shuleni sijui.
Mnaendeshwa na hisia tumia akili.
Kufa kwa ajili ya mapenzi ni kawaida. Sana. We uhawai penda kidigitali alafu. Wajumbe wakate. Jina lako unacheka ki Palestine
 
Me hadi bibi yangu alinionea huluma akaniambia yy hakumsumbua sana babu kama wadada. Waleo lakini solt ya hii si kingne bali na muda tu unavyosogea mambo yanapita. Ila mzee usipendege saaana
 
Kufa kwa ajili ya mapenzi ni kawaida. Sana. We uhawai penda kidigitali alafu. Wajumbe wakate. Jina lako unacheka ki Palestine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ki Palestine ndiyo kicheko gani! Haaa haaa
 
Pole sana, kunywa maji kwa wingi kupunguza kwanza stress
 
Nilikua najiamini kua mimi ni mtu mgumu sana haitakuja siku mwanamke aniyumbishe hisia na furaha yangu. Yet nikakutana na huyu mwanamke asee nilimpenda sioni kama dunia hii kuna mwanamke mzuri zaidi yake.

Omba yasikukute ndugu kupenda sana mwanamke, nimeamini wanaume sisi ni wazaifu sana moyoni. Leo kanimwaga mpenzi wangu nimpendaye, nimelia. Chakula mpaka muda huu hakipandi kabisa nawaza mawazo ya kufa. Naona bila yeye maisha hayaendi wakuu, Nimeshikwa na Homa kali mie sielewi hzi siku nitaishije.

Nisaidie wakuu ushauri nimrudishe nateseka mno Wanawake kueni na huruma basi kwetu tunaowapenda

Nifanyeje jamani?
Alikuroga ndio maana una hangaika sana na moyo unaumia sana, mwambie dada yako akufanyie surprise ya kukumwagia ukoko wa ugali itakata
 
Nilikua najiamini kua mimi ni mtu mgumu sana haitakuja siku mwanamke aniyumbishe hisia na furaha yangu. Yet nikakutana na huyu mwanamke asee nilimpenda sioni kama dunia hii kuna mwanamke mzuri zaidi yake.

Omba yasikukute ndugu kupenda sana mwanamke, nimeamini wanaume sisi ni wazaifu sana moyoni. Leo kanimwaga mpenzi wangu nimpendaye, nimelia. Chakula mpaka muda huu hakipandi kabisa nawaza mawazo ya kufa. Naona bila yeye maisha hayaendi wakuu, Nimeshikwa na Homa kali mie sielewi hzi siku nitaishije.

Nisaidie wakuu ushauri nimrudishe nateseka mno Wanawake kueni na huruma basi kwetu tunaowapenda

Nifanyeje jamani?
Nenda bar yoyote yenye pisi Kali utapona

California love
 
Kula bro 😂😂😂 usije ukafa na njaa wanaume enyewe mpo wachache hapa duniani
 
Unapitia wakati mgumu sana Mkuu,najua mapenzi yanavyoumizaaa,kuna kipindi nishawahi kuwa kama wewe ila yakaisha now naendelea na maisha yangu tena nipo better than before, sasa hivi anahaha na waganga ili arudishe mapenzi ila it is too late!!!

Ukiwa katika hali kama hio usikae pekee yako,tena kama una marafiki wakike mda huu ndo mda wa kuwa nao karibu kapige nao story,yan in short jichanganye na ujikubali kuwa wewe ni bora na utapata bora zaidi yake!!

Nasema hivi kama kweli ulikua ukimuonesha mapenzi ya dhati ipo siku huko alikoenda akizinguliwa atakukumbuka kwa vilio na majuto makubwa!!!

NB:self love haijawahi kuwa kama wajumbe jipende na usije fikiria njia yoyote ya kuumiza mwili wako kwa chochote!!!
 
Back
Top Bottom