Siamini kama leo naumwa kwaajili ya mapenzi

Siamini kama leo naumwa kwaajili ya mapenzi

Hii dunia kuna watu wanateseka na mapenzi kumbe[emoji23][emoji23][emoji28][emoji1787] mzee tafuta hela mapenzi hayatokuumiza
 
Hii dunia kuna watu wanateseka na mapenzi kumbe[emoji23][emoji23][emoji28][emoji1787] mzee tafuta hela mapenzi hayatokuumiza
Asikudanganye mtu jombaa hela haina nguvu ya kuleta upendo ila mapenzi tu kwa. Muda nawaelewa sana wadada akikupenda hata kumi huombwi we utashangaa tu mwamal . Kwenye cm yako
 
Dunia hii sioni kama kuna mzuri zaidi yake hafu tunaendana kila kitu
We una hitilafu kwenye akili,ndio maana unateseka.Ulijiachilia sana kwake ndio maana ameku win.
Bado una nafasi nyingine ya kujijenga upya,unless yeye ndio anakulisha na kukuvisha.Maana unaonekana unashindia pop corn alizokununulia mara ya mwisho.
 
Jitahidi unywe maji mengi hadi moyo uelee
 
Kaka natamani ingekua rahisi yaani kiukweli nawaza kujiua tu najaribu pambana na mawazo haya[emoji22][emoji22][emoji22]
Ukiona mtu kafa kwa mapenzi usimuone mjinga kabisa
Ukifa utakosa mbunye yake mkuu?
 
Mke mwenza umenikumbusha 'no matter what you're passing through make sure you eat first'..!

Basii mie stress zangu mbaya, nikiwa tu stressed nakimbilia kula, fast foods na bites zitanikoma.! Stress zikiisha najikuta nimenenepa badala ya kukonda eti..

Mda mwingine ni njaa tu zinazosumbua [emoji23][emoji23]
 
Nilikua najiamini kua mimi ni mtu mgumu sana haitakuja siku mwanamke aniyumbishe hisia na furaha yangu. Yet nikakutana na huyu mwanamke asee nilimpenda sioni kama dunia hii kuna mwanamke mzuri zaidi yake.

Omba yasikukute ndugu kupenda sana mwanamke, nimeamini wanaume sisi ni wazaifu sana moyoni. Leo kanimwaga mpenzi wangu nimpendaye, nimelia. Chakula mpaka muda huu hakipandi kabisa nawaza mawazo ya kufa. Naona bila yeye maisha hayaendi wakuu, Nimeshikwa na Homa kali mie sielewi hzi siku nitaishije.

Nisaidie wakuu ushauri nimrudishe nateseka mno Wanawake kueni na huruma basi kwetu tunaowapenda

Nifanyeje jamani?
Unazingua sana wewe......

Naomba nirudie katika mapenzi usiwe mtu wa kulia lia kila wakati, kubali ashakuacha songa mbele......

Kama week mbili zimepita yamenikuta kama yako ila sikuhuzunika zaidi ya kuibali hali, ila baada ya week kimekuja kifaa tunaendelea kukaanga chapati kwenye sufuria kwa kutumia mpini.....

Tafuta hela ndio kila kitu
 
Pole asee ila jjitahidi kutoka fanya mazoezi tafuta mtu wako wa karibu ushare naye hili jambo na usikae peke yako. I have been there two years ago

You know what i did?

Niliongea na rafiki yangu akanishauri kama ameamua hivyo basi nimuache

Nilifuta contact zake,nikamunfollow kwenye social media niliaccept its gone though ilichukua muda kuheal

So take your time allow yourself to heal. Usiingie kwenye relationship mpya kama haujamove on

OTHERWISE ALL THE BEST
 
Back
Top Bottom