Siamini kama leo naumwa kwaajili ya mapenzi

Mwanaume lazima uwe na spare aiseee lasivyo utajutaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwaka 2017 niliachana na Manzi 3 dadekiii yani 3 ndani ya week mojaaa...!! Tena wao ndo walianza vimbwangaa sasa just imagine ningekuwa nao hao tuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] si ningekufaa preshaa lakini niliwapotezea kama hakijatokea kituu hadi leoo yanii huwaga nikikumbuka najiona mwamba sanaaa..
 

Mkuu unaendelea je?
 
Mmoja jana kanitumia sms kuwa SIKUPENDI ACHANA NA MIMI FANYA YAKO sijamjibu chochote nikatabasamu moyoni, nikaenda choma mbuzi na bia kadhaa nikanyanyua simu nikaweka sikioni baby ( mwingine) leo siwezi lala mwenyewe please njoo usiku kucha nakata uno asubuhi kama kawaida nikaendelea shughuli zangu za kila siku bila shida yeyote. Kuwa na demu mmoja ni changamoto hasa unapomwagwa
 

Real meaning of backup
 
hahahahahahahahahahahaa yaani nimecheka mpaka basi JF raha sana aisee
 
Good piece of advice from a matured and a wise person.
 
Naapa mbele ya Malaika zangu lazima nilipize
then jipange kwa maumivu Zaidi ya hapa mkuu,

coz principle ni hii moja tu mtenda hutendwa,

utasuffer sana mkuu bora ukachukua ushauri wa mkuu pale juu,usiende kuumiza wengine ambao sio chanzo cha maumivu yako,

vinginevyo ukikomaa na hiyo akili ya kisasi utakuja kumbana na maumivu Zaidi ya haya ya sasa,

take care usije sema hukujua au kuambiwa what goes around comes around you creat the shit then the shit goes around and then it comes back to you hakunaga mbadala wa hilo.
 
Kaka natamani ingekua rahisi yaani kiukweli nawaza kujiua tu najaribu pambana na mawazo haya😢😢😢
Ukiona mtu kafa kwa mapenzi usimuone mjinga kabisa
Acha ujinga wewe. Ukishajiua ndio kinatokea nini. Mie toka nimeanza mapenzi mpk leo hii nimeshakutana na mengi na siwezi sio tu kujiua hata kuwaza mtu akisema anaondoka. Simuweki mtu akilini hata mke wangu nae anajua kabisa kuwa akisema naondoka mie nitamwambia ukiondoke usirudi kabisa hapa tena ungeondoka toka jana. Mapenzi ninayo ila siruhusu yaniteke. Huwezi kusema unajiua au kukosa amani kwa mtu ambaye hakupendi ni ujinga uliopitiliza.

Mapenzi yako ya kitoto unataka ujiue kwa mtu ambaye kumbe wala haijapangwa hawa mpenzi wako ni wewe tu una lazimisha. Na achana nae na achana habari ya kurudiana nae hakupenda. PUMBAAFu

Na ukufe ili wajinga wajinga wapungue duniani
 
Pole sana mkuu
 
Kiukweli hauko peke yako Chief.Wapo wengi sana wenye matatizo kama yako
Cha msingi tulia tu afu jitahidi kujisahaulisha kwa lazima
Utasahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…