Welcome, it's an amazing club.Wakuu,
Siamini kama mimi kijana wenu hatimaye nimepata kipara.
Nilikuwa namcheka mzee wangu,
Ila hatimaye yamenikuta.
Kinacho uma zaidi ni kua na kipara ila unapanga chumba na sebule na unaendesha basikeli,Wakuu,
Siamini kama mimi kijana wenu hatimaye nimepata kipara.
Nilikuwa namcheka mzee wangu,
Ila hatimaye yamenikuta.
Yule makeke au Dude, wote wana vipara 😂😂upara uwe na hela mkuu la sivyo watu wanakuona kama tapeli
Asante sana na huu uzi usifutwe soon utafungua uzi mwingine kusema umekuaWakuu,
Siamini kama mimi kijana wenu hatimaye nimepata kipara.
Nilikuwa namcheka mzee wangu,
Ila hatimaye yamenikuta.