Siamini kama nimepata kipara, nilikuwa namcheka Mzee wangu

Upara bila hela ni kama simu ya smart bila bando

Ila chunga wenye vipara nyanda ya ziwa ni kama albino

Hussle na kipara chako ilsa usije ukageuka fursa nyanda hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…