Kapyungu A
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 3,499
- 3,161
Kama ulikuwa na mimi nilitaka ni mshauri hiv hiv asante mkuu umeniwakilisha vemaHilo ni kweli,
Mfano:
1. Kreti moja ya Soda za Pepsi inauzwa 10,000 ikiwa na soda 24.
Maana ake kila soda ameinunua sh.416
Wakati Bei Soda Mtaani ni sh.500
KiUHALISIA,
Faida yake ni sh. 84 kwa kila chupa ya soda atakayouza.
2. Mkanda wa vocha 10 za Jero, Anauziwa na Wakala mkuu sh.4800.
Akiuza zote zikaisha anapata 5,000
Maana ake Kila vocha anakula faida sh.20
My Take:
Vijana acheni kupenda shortcut, Na hizo Biashara zenu za Kwenye Vitabu.
Hizo faida mnazo ona nyie ni ndogo.
Ndizo matajiri kila siku wanazikimbilia na Kufungua Biashara kila Siku.
Na ndizo zinazowaweka mjini Matajiri wakubwa wenye mahoteli, Baa,Nightclubs,Kumbi za Mikutano, Supermarket, shopping Malls n.k
Kikubwa Wanachoangalia Kwao ni Mzunguko wa Mzigo
SHAURI YENU
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana mkuu, hao vijana wanaenda petrol station na makopo hayo ya maji ili wapiwe hayo mafuta ya buku mbilimbill kwa kila kopo? Kwamba kama anataka lita 20 basi anaenda na makopo 20 petrol station na kuyapimia mafuta ya buku 2?Usidanganywe mkuu,
Hii Biashara inawalipa vijana sana, tena faida yake ni 50%
Iko hivi,
Kijana anakusanya Chupa nyingi za plastic tupu za Lita 1 za maji.
Anaenda sheli na kuwaambia kua kila chupa wapime ya 2,000
ie: Inakua imepelea kidogo sana ujazo kufika Lita 1 kamili ambayo inauzwa 2300
Akifika mtaani,
Anauza kila chupa sh.3,000, faida yake 1,000
Sasa kwa haraka haraka,
Ukiletewa lile chupa, huwez gundua kua haujafika Lita 1.
Utatia kwenye chombo yako utaondoka na Utajihisi hamna faida.
Kumbe kiuhalisia,
Kapiga faida kwa 50%
****MJINI SHULE***
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kashindwa kujiongeza kama ni paper ana ziroWengine wanaenda nayo, Wengine hawaendi nayo.
Hao ambao Unaona hawaendi Nayo, Wanafanya hivi.
Yaani
Kwa Mara kwanza Anaenda na Kopo,
Akishawekewa mafuta ya 2000, Analichora alama yalipoishia hayo mafuta ya 2000
Na hicho ndio kinakua kipimo chake cha Siku zote.
Baada ya hapo anakua anaenda na Madumu.
Akishafika chemba,
Anachukua kipimo chake na kupima hayo mafuta ya 2000 na kujaza kwenye machupa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya mkuu ww umenielewa sana yaniHiyo biashara nikidogo sana. Hamuwezi Fanya partnership, kama wewe unafanya Fanya, kama unamsaidia mdogo wako afanye msaidie. Napenda nikukumbushe hivi kila biashara huwa INA boom time ikikubali mzunguko wake inalipa vibaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahah mwanangu umeongea kwa confidence sanaHiyo biashara mtapata loss,iyo fedha wekezeni katik betting kubashiri matokea ya mpira wa miguu,jamaa yako kazi yake inakua kutengeneza mikeka.
Kweli nimeamini biashara bila dhuluma hufanikiwi hapa bongo. Yani lazima kuwe na chembechembe ya usanii na kuumizana!Wengine wanaenda nayo, Wengine hawaendi nayo.
Hao ambao Unaona hawaendi Nayo, Wanafanya hivi.
Yaani
Kwa Mara kwanza Anaenda na Kopo,
Akishawekewa mafuta ya 2000, Analichora alama yalipoishia hayo mafuta ya 2000
Na hicho ndio kinakua kipimo chake cha Siku zote.
Baada ya hapo anakua anaenda na Madumu.
Akishafika chemba,
Anachukua kipimo chake na kupima hayo mafuta ya 2000 na kujaza kwenye machupa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini umesema hivo,Kweli nimeamini biashara bila dhuluma hufanikiwi hapa bongo. Yani lazima kuwe na chembechembe ya usanii na kuumizana!
Kweli nimeamini biashara bila dhuluma hufanikiwi hapa bongo. Yani lazima kuwe na chembechembe ya usanii na kuumizana!
Sio kweli mkuu, Vinginevyo Unataka kutuaminisha kua watu wote wanaishi city centreHii biashara ilkuwa na faida enzi za kikwete. Kipind mafta yanauzwa 1600. Mitaani ilikuwa 2000. Ni kipind ni 2000 mitaan ilkuwa 2500. Sasa hiv kila m2 anaenda kununua kwenye filling station. 200 ni nying sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah nimecheka sana halafu akili yangu imeanza kufikiria hilo jambo literally.Mkuu kuna neno hapo juu inaonesha huwa unalitumia sana mpaka ukiandika MAUZO hilo neno linajitype!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] you can't be serious broBraza naomba nikopeshe hiyo hela nilipe kodi.