Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Wakuu,
Last year November nilikutana na huyu ex wangu yakatokea yaliyotokea maana nadhani ile kauli mbiu ya mtalaka huwa hatongozwi bado ni valid.
Sasa last week akanipigia simu akaniambia anataka tuzungumze nikamwambia sawa.
Madai yake ni kwamba, yeye alikuwa na uvimbe na kuna madawa alikuwa akiyatumia sasa madawa hayo yalivuruga mzunguko wake.
Akaendelea kudai kwamba baada ya sisi kuachana siku ile alidhani kwamba mambo yatakuwa sawa ila mpaka sasa haoni dalili za kurejea kwenye hali ya kawaida.
Kwakweli nikiri kwamba nilichemka lakini kikubwa ni kwamba sikuacha chochote kwake ingawa yeye anadai niliacha.
Sasa naona ghafla tu ameanza kujibebisha na kuzungumzia mambo ambayo kwa kweli hayapo ndani ya mipango yangu.
Kupima alipima na daktari katoa majibu kuwa ana ujauzito.
Tatizo hapa ni kuwa ilikuwa siku hiyo tu na kusema kweli sikuacha chochote mule.
Hapa naona kama naonewa tu na mimi sio mhusika.
Nimemtaarifu kuwa kama ni kweli nasubiria tupime DNA ila naona suala la DNA ni kama namdhalilisha huyo dogo atayezaliwa na akija pata hii stori atanichukia mno.
Niko njia panda maana ilikuwa mara moja tu na sikuacha chochote mule.