Siamini kwa umri huu nasingiziwa ujauzito

We mzee una maneno ya kihuni kutembelea rim ndio kukulana peku [emoji1787][emoji1787] ila nyama kwa nyama tamu bwana acha avune alichopanda

Hahah ndio hivyo hivyo mama Ndugai...

Nyama kwa nyama tamu kama unaifanya siku sahihi...sio unaparamia mnazi wakati unajua umevaa msuli, lazima uumie
 
Sio kwamba muda aliokaa kimya alikua akitafuta mnyonge wa kumuangushia jumba bovu??

Akaona huyu huyu anafaa.

Ngoja nikuweke sawa...

Mmedinyana last year November, mimba itajulika walau wiki mbili baada ya ovulation (kama angepima) lakini pia siku zake zisingeonekana...

December tena alipaswa aone siku zake, lakini hakuziona...hadi hapa ni takribani wiki 6 hadi 7

January, kakupasulia bomu...sasa sijui kama waona wiki 6 ni nyingi au chache?
 
Hahhaha acha avune alichopanda bwana kitanda hakizai haramu

Jamaa katupia gozi la ng'ombe kambani kama Kiiza😜😜 halafu anashangaa kwa nini mashabiki wanashangilia...eboh!!!
 
Ngoja nikuweke sawa...

Mmedinyana last year November, mimba itajulika walau wiki mbili baada ya ovulation (kama angepima) lakini pia siku zake zisingeonekana...

December tena alipaswa aone siku zake, lakini hakuziona...hadi hapa ni takribani wiki 6 hadi 7

January, kakupasulia bomu...sasa sijui kama waona wiki 6 ni nyingi au chache?
Kwahiyo mtaalam unahitimisha kwamba mimi ndio mhusika??
 
Wakuu,

Last year November nilikutana na huyu ex wangu yakatokea yaliyotokea maana nadhani ile kauli mbiu ya mtalaka huwa hatongozwi bado ni valid.

Sasa last week akanipigia simu akaniambia anataka tuzungumze nikamwambia sawa.

Madai yake ni kwamba, yeye alikuwa na uvimbe na kuna madawa alikuwa akiyatumia sasa madawa hayo yalivuruga mzunguko wake.

Akaendelea kudai kwamba baada ya sisi kuachana siku ile alidhani kwamba mambo yatakuwa sawa ila mpaka sasa haoni dalili za kurejea kwenye hali ya kawaida.

Kwakweli nikiri kwamba nilichemka lakini kikubwa ni kwamba sikuacha chochote kwake ingawa yeye anadai niliacha.

Sasa naona ghafla tu ameanza kujibebisha na kuzungumzia mambo ambayo kwa kweli hayapo ndani ya mipango yangu.

Kupima alipima na daktari katoa majibu kuwa ana ujauzito.

Tatizo hapa ni kuwa ilikuwa siku hiyo tu na kusema kweli sikuacha chochote mule.

Hapa naona kama naonewa tu na mimi sio mhusika.

Nimemtaarifu kuwa kama ni kweli nasubiria tupime DNA ila naona suala la DNA ni kama namdhalilisha huyo dogo atayezaliwa na akija pata hii stori atanichukia mno.

Niko njia panda maana ilikuwa mara moja tu na sikuacha chochote mule.
Pole sana
 
Tena ukitaja na siku umenjunjana naye utatajiwa hadi jinsia kabisa 😁
Haha mtaalam mpaka hapo nakuona umeshachagua upande maana unanipa maneno yanayopendelea upande mmoja tu.
 
Hahah, mzee we utajisikiaje ukijua umetelekeza mtoto wakati utamu ulipewa kwa machejo yote...
 
Wakuu,

Last year November nilikutana na huyu ex wangu yakatokea yaliyotokea maana nadhani ile kauli mbiu ya mtalaka huwa hatongozwi bado ni valid.

Sasa last week akanipigia simu akaniambia anataka tuzungumze nikamwambia sawa.

Madai yake ni kwamba, yeye alikuwa na uvimbe na kuna madawa alikuwa akiyatumia sasa madawa hayo yalivuruga mzunguko wake.

Akaendelea kudai kwamba baada ya sisi kuachana siku ile alidhani kwamba mambo yatakuwa sawa ila mpaka sasa haoni dalili za kurejea kwenye hali ya kawaida.

Kwakweli nikiri kwamba nilichemka lakini kikubwa ni kwamba sikuacha chochote kwake ingawa yeye anadai niliacha.

Sasa naona ghafla tu ameanza kujibebisha na kuzungumzia mambo ambayo kwa kweli hayapo ndani ya mipango yangu.

Kupima alipima na daktari katoa majibu kuwa ana ujauzito.

Tatizo hapa ni kuwa ilikuwa siku hiyo tu na kusema kweli sikuacha chochote mule.

Hapa naona kama naonewa tu na mimi sio mhusika.

Nimemtaarifu kuwa kama ni kweli nasubiria tupime DNA ila naona suala la DNA ni kama namdhalilisha huyo dogo atayezaliwa na akija pata hii stori atanichukia mno.

Niko njia panda maana ilikuwa mara moja tu na sikuacha chochote mule.
mie namjua mwenye hiyo mimba, anauza mishkaki ya 250 pale barabarani. aliniambia amekubambikia wewe kwasababu unavijisenti vya kustaafu.
kama vipi, nipe laki nikutajie mume mwenzio. 😁😁😁😁
 
Hahah, mzee we utajisikiaje ukijua umetelekeza mtoto wakati utamu ulipewa kwa machejo yote...
Hilo jambo ndio linanipa fikra sana.

Ila acha tuone mwisho wake.
 
Hukuacha chochote ndo nini, yaani ulitoa upepo [emoji16]

Wengine tunataka mtu wa kutubebea mtoto tumboni ijapokuwa ninao watoto kadhaa .
 
Ngoja nikuweke sawa...

Mmedinyana last year November, mimba itajulika walau wiki mbili baada ya ovulation (kama angepima) lakini pia siku zake zisingeonekana...

December tena alipaswa aone siku zake, lakini hakuziona...hadi hapa ni takribani wiki 6 hadi 7

January, kakupasulia bomu...sasa sijui kama waona wiki 6 ni nyingi au chache?
[emoji23][emoji23][emoji23]mpempe somo apambane na calculation
 
Back
Top Bottom