Siamini kwa umri huu nasingiziwa ujauzito

Hujui unacho taka
 
Ili mradi amesema ni wako mlee kwa upendo hata kama kiuhalisia hatokuwa wako
Atakupenda sana huyo dogo kuliko utakavyo fikiria
 
😁😁 Mnamuona huyu jamaa! Aliye mwambia hiyo kitu inatokea baada ya kumfunga mpinzani bao nyingi, ni nani?

Sisi wachezaji wa zamani tulikuwa na msemo wetu unaosema hivi "One mistake, one goal" 😁😁 Yaani mimba inapatikana kwa urahisi zaidi kupitia hako kagoli kamoja, kuliko kwenye show ya goli 2, 3, 4 au 5!

Kubali tu wewe sasa ni Baba Kijacho. Na usijaribu kwa namna yoyote ile kukimbia majukumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…