Siamini naanza kuacha uhuni, umalaya, ubazazi na ubaradhuli. Huyu mtoto nimemuibua humu humu JamiiForums

Dah sijui na mm ntampata lini tu!
 
Hongera kwa hilo, lakini kumbuka "Si kila king'aacho ni dhahabu".
 
Sijasoma yote...ila huwezi kuacha hayo wewe nakuambia...hujasikia kuwa mazoea huzaa tabia!hiyo ishakuwa tabia yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…