Siamini ninachokiona kwa wanaume wa kileo

gari si lazma kwa kila mtu,nyumba si lazma kwa kila mtu, yote haya Mungu anatoa,na kuchukua
 
Mbona kawaida tu, kupata kufaana, maemdeleo siku hizi hayaangalii gender au sex...
 
A comment of the year!!!kudos [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Unaweza kuta we ni demu, gari umenunuliwa, kazi umepewa bila vigezo, afu unaleta dharau nyingi!
 
Kuna demu mmoja wa kikenya eti huwa anawashangaa wanaume waliooa na wenye pete kwenye matatu, pia eti huwa anajiuliza wanawake wao kukubali kuolewa,.
 
Kwamba akisimama kuwapa lifti watoto au aliyemkusudia, wewe ambaye hukukusudiwa usijipeleke..unatia aibu!
kwa hyo hilo ndio swala la kusema....sikia nkwambie sisi ambao hatuna magari uzoefu wetu gari likisimama kituoni tunajua mtu anachukua abiria mpaka usogee ndio aseme anachukua wanafunzi tu.
 
Aliyekupa wewe kwenye sahani ndiye aliyemnyima huyo mwanaume wa 30+ kwenye Kijiko
Nalog off
 
Aliyekupa wewe kwenye sahani ndiye aliyemnyima huyo mwanaume wa 30+ kwenye Kijiko
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…