Hahahaaaa. Yaani.Mbona mnamshambulia mtoa mada? Nunueni magari banaaa...hata baiskeli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sikujua kuwa wewe ni dereva wa skuli basi.Ni aibu kubwa mwanaume wa 30+ una nguvu zako,huna ulemavu wowote,unautimamu wa ubongo, watoto wa shule wanaomba lift asubuhi unawasimamishia gari wanakuja mbio kupanda mara na limwanaume nalo hiloo mbio kudandia lift ya bure, 30+ hukoo really???? ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nacheka kama mazuri lakini nimeshanga sana,sasa huku duniani unafanya nini??
Hahahaaa. Lolmshushe akatembeze sharubu kwenye mvua
Eeh kwakweli anawaonea sana wanaume
Ila rafiki lakini lifti si wanataka kupewa wanafunzi sasa huyo jitu zima kama ni kweli anakimbilia nini?Eeh kwakweli anawaonea sana wanaume
Naona umeingia JF kwa fujo kweli. Unatafuta kiki kupitia wanaume sio. Utafurahii tuu..Ni aibu kubwa mwanaume wa 30+ una nguvu zako,huna ulemavu wowote,unautimamu wa ubongo, watoto wa shule wanaomba lift asubuhi unawasimamishia gari wanakuja mbio kupanda mara na limwanaume nalo hiloo mbio kudandia lift ya bure, 30+ hukoo really???? ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nacheka kama mazuri lakini nimeshanga sana,sasa huku duniani unafanya nini??
Huyu sio mzima.. Mshanajr njooHebu tuambie tumekukosea nini....hii si kawaida..toka umepiga maguu JF wewe upo na wanaume tuu..
1. Kwenu wanaume, matatizo mengine hayahitaji maombi
2. Ni aibu kwa mwanaume
3. Wanaume hawajui mapenzi
4. Wanaume wengi hawabebeki
5. Tabia za ajabu kwa wanaume
6. Baadhi ya wanaume ni wachafu sana, wanalala na kahaba anayetembea na wanaume wengi
7. Bora kujipenda mwenyewe
8. Jana nimechepuka ili kumkomoa mwanaume niliyenaye
9. Wanaume kuwa na aibu za kitoto
10. Wanaume mnalaana
11. Wanaume wa siku hizi wamekua waoga sana hadi wanatia aibu
Kuna tatizo kubwa sana
Hahahaha kriti kawaamulia..maana kuna muda huu mada zilikua za kukandia wanawake tuHahahaaa. Mpaka wanyanyue mikono mwaka huu.
Ila nimecheka hizo comment tu ni za kuudhi na kuchekesha pia.
Hahahaaa. Kwa mbaali najiwazia kumbe wanawake tu staha jamaani sababu huwa wakituchamba kwenye uzi tunaupita uzi kama hawauoni ila wanaume duuh.Hahahaha kriti kawaamulia..maana kuna muda huu mada zilikua za kukandia wanawake tu
Wamepata kiboko yao..ila sio kwa majibu wanayompa
Njoo chemba nikuchekeshe vizuriHahaha comments zinachekesha
Aisee nimekosa neno la kuchangia kwa jinsi ulivyofukua makaburi.Hebu tuambie tumekukosea nini....hii si kawaida..toka umepiga maguu JF wewe upo na wanaume tuu..
1. Kwenu wanaume, matatizo mengine hayahitaji maombi
2. Ni aibu kwa mwanaume
3. Wanaume hawajui mapenzi
4. Wanaume wengi hawabebeki
5. Tabia za ajabu kwa wanaume
6. Baadhi ya wanaume ni wachafu sana, wanalala na kahaba anayetembea na wanaume wengi
7. Bora kujipenda mwenyewe
8. Jana nimechepuka ili kumkomoa mwanaume niliyenaye
9. Wanaume kuwa na aibu za kitoto
10. Wanaume mnalaana
11. Wanaume wa siku hizi wamekua waoga sana hadi wanatia aibu
Kuna tatizo kubwa sana
Ashuke tu wapande watoto akatembeze kengeleHahahaaa. Lol
Nimejikuta nacheka kwa sauti. Una matani ujue Evelyn.
Sababu hapa naiwaza ile aibu ya kushushwa.
Ila kama ni kweli ni aibu jamaani jitu zima kukimbizana na watoto hata sio aisee.Ashuke tu wapande watoto akatembeze kengele