Siamini ninachokiona kwa wanaume wa kileo

Siamini ninachokiona kwa wanaume wa kileo

Ni aibu kubwa mwanaume wa 30+ una nguvu zako,huna ulemavu wowote,unautimamu wa ubongo, watoto wa shule wanaomba lift asubuhi unawasimamishia gari wanakuja mbio kupanda mara na limwanaume nalo hiloo mbio kudandia lift ya bure, 30+ hukoo really???? ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nacheka kama mazuri lakini nimeshanga sana,sasa huku duniani unafanya nini??
sikujua kuwa wewe ni dereva wa skuli basi.
 
Ni aibu kubwa mwanaume wa 30+ una nguvu zako,huna ulemavu wowote,unautimamu wa ubongo, watoto wa shule wanaomba lift asubuhi unawasimamishia gari wanakuja mbio kupanda mara na limwanaume nalo hiloo mbio kudandia lift ya bure, 30+ hukoo really???? ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nacheka kama mazuri lakini nimeshanga sana,sasa huku duniani unafanya nini??
Naona umeingia JF kwa fujo kweli. Unatafuta kiki kupitia wanaume sio. Utafurahii tuu..
 
Hahahaaa. Mpaka wanyanyue mikono mwaka huu.

Ila nimecheka hizo comment tu ni za kuudhi na kuchekesha pia.
Hahahaha kriti kawaamulia..maana kuna muda huu mada zilikua za kukandia wanawake tu

Wamepata kiboko yao..ila sio kwa majibu wanayompa
 
Hahahaha kriti kawaamulia..maana kuna muda huu mada zilikua za kukandia wanawake tu

Wamepata kiboko yao..ila sio kwa majibu wanayompa
Hahahaaa. Kwa mbaali najiwazia kumbe wanawake tu staha jamaani sababu huwa wakituchamba kwenye uzi tunaupita uzi kama hawauoni ila wanaume duuh.

Wamemjia juu hawataki kumlazia damu.
 
Safari ni safari, hata kama niya lift , bora ufike kuliko kuchelewa, ukoa muda mdada,
 
Ww kumiliki gar unaona umemalza kila kitu. Huo co ujanja wako kumlk ulvyo navyo. Unaweza kuwa fukara ndani ya siku moja na kuishia kua omba omba. Mshukuru mwenyezi mungu kwa ulpo na sio kuleta maneno ya dharau na kuona wengne n wapumbavu.
 
Kutendwa kubaya sana,
Unaweza mchukia hata mwanao wa kiume wewe...
 
Back
Top Bottom