Siamini ninachokiona kwa wanaume wa kileo

Ukiona anatusema sana sisi wanaume ujue anataman kuwa kama sisi au kaachika mara nyingi hivyo anatuonea wivu
 
August 1 naanza kuandaa nyuzi za kunanga flaws za wanawake.
 
Minaona sasa hivi mtu ukitaka kumnanga tunatumia usasa mbona zamani lift za baiskel za phonex watu walikuwa wanapeana pasipo kunangana
 
Miss "GENERALIZATION" katika ubora wako.
 
KWAKO KRITIKA
1.Niliwahi kutoa comments katika mabandiko yako utafute mwanasaikolojia akusaidie,unahitaji msaada my dear maana unapoelekea siko.
2.Chuki uliyonayo itakuja kukugharimu siku moja ukafanya jambo baya ambalo hukutegemea.Kuwa makini
3.Kama hautobadilika ndugu jiandae kuwa "KICHAA" katika siku za usoni
4.Kukaa kuwachukia wanaume wala haitokuwa suluhu ya kutatua matatizo yako uliyonayo,ndio kwanza utakuwa unayaongeza
5.Kwa imani yako uliyonayo jitahidi ufanye maombi kwa muumba wako ili akusaidie kukuondolea KIBURI ulichonacho maana hakina msaada kwako kumbuka hapa duniani tupo kwa msimu tu.KIBURI kitakufanya uangamie kama alivyoangamia FARAO wa MISRI.
 
Huyu mwanadada inaelekea amejeruhiwa sana alafu hana mtu wa kumtolea stress.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…