Siamini ninachokiona kwa wanaume wa kileo

Kritika jitahidi ubadilike ndugu yangu maana maisha hayaendi kwa staili hiyo. Ukipata shukuru MUNGU.Ukipata kitu usidharau aliyekosa maana hujui siku gani na wewe mambo yakubadilikia. Mimi nina sista wangu alikuwa jeuri kama wewe alikuwa anafanya kazi benki mwisho wa siku alifukuzwa kama hajulikani na mpaka leo hana kazi na biashara imemshinda,sisi aliokuwa akitudharau tunamsitiri leo na haongei kawa mpole. Maisha ni graph so usijisahau.
 
JAMANI NA YEYE SI NDIE MWALIMU WA HAO WATOTO WANAOWAHI SHULE. ULITAKA ATEMBEE ACHELEWE......
 


Ya nini kumsema mumeo hadharani kihivyo, si uongee naye tu atakuelewa....au anatongoza hao wanafunzi na unamwonea wivu?
 
Hasira yako ni kuona mtu mzima kapanda hilo gari au?? Kwani hukumuitisha nauli uone ka alitaka lift yako. Kuombwa nyiye lift hamtaki ila nyiye kuomba lift ni haki?? Kama uliamua kuwasaidia wasiojiweza hata huyo hujui yaliyomkuta
 
Ww kumiliki gar unaona umemalza kila kitu. Huo co ujanja wako kumlk ulvyo navyo. Unaweza kuwa fukara ndani ya siku moja na kuishia kua omba omba. Mshukuru mwenyezi mungu kwa ulpo na sio kuleta maneno ya dharau na kuona wengne n wapumbavu.
Gari yenyewe amekopeshwa mkuu. na alie mkopesha kamtaja
 
Mtoa mada atakuwa ni single mother mwenye stress level ya joyce kiria
 
Siyo wanaume ty
Hata wadada
 
Mkiweza tu kumiliki hivyo vigari vyenu vya mil6 Saba nane tena kuhongwa basi wasio navyo mnawaona wajinga tu
Jitahidini m badilike bana na hizo ni roho za kimaskini tu
 
Usafiri wa Dar ni majanga sio kama tunapenda kujipendekeza kwenye hako ka PASSO kako
 
Ngozi nyeusi shida sana...hatutaki hata kujua unamiliki gari ya aina gani mana unaonekana ni wale wale wanaojifanya malaya wa bei mbaya wakat wakija mikoani huku wanaliwa free tu
 
Hivi inawezakana wanaume na wanawake kumiliki magari?

Hakuna nchi kama hiyo duniani, inabidi ukubali tu.

Vv
 
Kwani ni lazima huishi na mwanume wa hivyo, mbona wanaume wamejaa wengi tu huku mtaani na ni wenye magari na hela nyingi mbona hujawafuata sio level zako, huyo mwanaume ndiyo level yako so acha kubwatuka kama mbwa koko, ukiona umekaa na mwanaume fulani basi ujue huyo ndiyo kiwango chako ukijaribu level nyingine wewe ndiyo utateseka mpaka ukome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…