mkali kwanza
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 1,301
- 1,181
Kritika jitahidi ubadilike ndugu yangu maana maisha hayaendi kwa staili hiyo. Ukipata shukuru MUNGU.Ukipata kitu usidharau aliyekosa maana hujui siku gani na wewe mambo yakubadilikia. Mimi nina sista wangu alikuwa jeuri kama wewe alikuwa anafanya kazi benki mwisho wa siku alifukuzwa kama hajulikani na mpaka leo hana kazi na biashara imemshinda,sisi aliokuwa akitudharau tunamsitiri leo na haongei kawa mpole. Maisha ni graph so usijisahau.