[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ana tatizo KUBWA KULIKO na asipojirekebisha ATAKUWA ANA PULIZWA na KUACHWA mpaka aoze.Hebu tuambie tumekukosea nini....hii si kawaida..toka umepiga maguu JF wewe upo na wanaume tuu..
1. Kwenu wanaume, matatizo mengine hayahitaji maombi
2. Ni aibu kwa mwanaume
3. Wanaume hawajui mapenzi
4. Wanaume wengi hawabebeki
5. Tabia za ajabu kwa wanaume
6. Baadhi ya wanaume ni wachafu sana, wanalala na kahaba anayetembea na wanaume wengi
7. Bora kujipenda mwenyewe
8. Jana nimechepuka ili kumkomoa mwanaume niliyenaye
9. Wanaume kuwa na aibu za kitoto
10. Wanaume mnalaana
11. Wanaume wa siku hizi wamekua waoga sana hadi wanatia aibu
Kuna tatizo kubwa sana
Ndio ujue wengi huwa wanakimbiliaga lifti. [emoji85] [emoji85]Watu wana mapovu bhana hatariiiii
Sasa hivi tunakampeni ya kubaki njia kuu yaani hakuna mchepuko kwasbb tunatumia sana hela kwa michepuko. Tumeona hela ya kumhudumia mchepuko bora tuweke bill ya maziwa nyumbani na kingine michepuko ni km trojan au malware kwenye pc kwahiyo ukiindekeza mwisho wa siku inaharibu data zako zote kwenye pc.Wacha weeeh
Mmmmhwe kila kitu mapenz na kila mada dhidi ya wanaume? Mrudie muumba humu hutapata amani unayoitaka na ukiendelea kutegemea furaha yako kubwa itoke kwenye mapenz umekwisha. Means mkizinguana ghafla bin vuu anaondoka na furaha yako yote unabaki mtupu, matokeo ya ni kuhaha haha kama hv upate hata fraha kdg ikusaidie usijinyonge. Tafta vyanzo ving vya furaha ukitegemea kimoja tena kutoka kwa binadam matokeo yake ndo hayo. Lets say Wewe (Anna) unamtegemea (Juma) akupe furaha na (Juma) anamtegemea (Pili) ampe furaha ila na wewe, what do you expect from him against you? Lazma ule za uso na matokeo yake ni kua hopeless kama hvyo.pole dada
Huyu mme wako alichokufanya mpaka umekuwaNi aibu kubwa mwanaume wa 30+ una nguvu zako,huna ulemavu wowote,unautimamu wa ubongo, watoto wa shule wanaomba lift asubuhi unawasimamishia gari wanakuja mbio kupanda mara na limwanaume nalo hiloo mbio kudandia lift ya bure, 30+ hukoo really???? ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nacheka kama mazuri lakini nimeshanga sana,sasa huku duniani unafanya nini??
Na kwa bahati mbaya unakuta hata mtoto hana hlf uwezekano wa kufyatua haupo tena ,shida kweli kweliWadem km hawa ndo wanaishia kuzeeka single
Wao wanajiona perfect kumbe waap
So wanabak kuzeekea single just wanapata wa kuosha rungu tu
Mtoa uzi kasema watoto wamesimamisha gari ile kusimama mbaba anakuwa wakwanza kukimbilia auwiii na ndevu anapumua jujuu si unasubilia gari za uma? Watoto hata nauli wanakuwa walishanunua bagia sasa mbaba, mtoa uzi wanamtusi lakini katoa tusema niniYaani nimecheka mie pia mdogo wangu na nimejikuta navuta picha huyo mwanaume anayekimbizana na wanafunzi kuwahi lift. Hahahaaaa.
Hahaha haaa akazining'inize tu wanawake husema sana kwakupenda lift,Ashuke tu wapande watoto akatembeze kengele
Hapo sasa mpaka anawapiga vikumbo na viwiko watoto, huko mbele watoto watakuwaIla rafiki lakini lifti si wanataka kupewa wanafunzi sasa huyo jitu zima kama ni kweli anakimbilia nini?
Si angewahi kuamka. Teh teh.