Siamini ninachokiona kwa wanaume wa kileo

Siamini ninachokiona kwa wanaume wa kileo

Wacha weeeh
Sasa hivi tunakampeni ya kubaki njia kuu yaani hakuna mchepuko kwasbb tunatumia sana hela kwa michepuko. Tumeona hela ya kumhudumia mchepuko bora tuweke bill ya maziwa nyumbani na kingine michepuko ni km trojan au malware kwenye pc kwahiyo ukiindekeza mwisho wa siku inaharibu data zako zote kwenye pc.
Unakumbuka ile kampeni ya mchumba hasomeshwi? Ili fanikiwa 99.9%. Mke tu mwenye watoto huyo ndiyo anasomeshwa ila ukiwa hauna mtoto bado upo kweny kundi la uchumba
 
we kila kitu mapenz na kila mada dhidi ya wanaume? Mrudie muumba humu hutapata amani unayoitaka na ukiendelea kutegemea furaha yako kubwa itoke kwenye mapenz umekwisha. Means mkizinguana ghafla bin vuu anaondoka na furaha yako yote unabaki mtupu, matokeo ya ni kuhaha haha kama hv upate hata fraha kdg ikusaidie usijinyonge. Tafta vyanzo ving vya furaha ukitegemea kimoja tena kutoka kwa binadam matokeo yake ndo hayo. Lets say Wewe (Anna) unamtegemea (Juma) akupe furaha na (Juma) anamtegemea (Pili) ampe furaha ila na wewe, what do you expect from him against you? Lazma ule za uso na matokeo yake ni kua hopeless kama hvyo.pole dada
Mmmmh
 
Kwan walikuaj sokwe au we sindo unaye jua unauliza nni au ndo unafk
 
Ni aibu kubwa mwanaume wa 30+ una nguvu zako,huna ulemavu wowote,unautimamu wa ubongo, watoto wa shule wanaomba lift asubuhi unawasimamishia gari wanakuja mbio kupanda mara na limwanaume nalo hiloo mbio kudandia lift ya bure, 30+ hukoo really???? ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nacheka kama mazuri lakini nimeshanga sana,sasa huku duniani unafanya nini??
Huyu mme wako alichokufanya mpaka umekuwa
na bifu na wanaume wote wewe haya.
Ila has ante kwa kurusha jiwe gizani
maana na mimi hii tabia huwa inanikera
ila si kwa wanaume pekee.
 
Usikute baba, babu, wajomba zake huyu ambao definetely wapo 30+ nao hawana mikoko.
 
Yani malimbukeni wata tabu kweli sio wanawake tu hata wanaume mi nna jamaa yangu kanunua ki ist kibovu ila kila siku ni madongo mara ooh watu hawajui michongo ya kutafta hela mara oooh watu wanapenda starehe ndo maana hawana magari. Ila mi namuangalia kisha nasema hihihihihihihi!!!
 
Kiukwel maada zake zote ni kutunanga sisi waume wa wenzake. Hivi hao wako walikufanyia nini kikubwa hicho labda utueleze
 
Wadem km hawa ndo wanaishia kuzeeka single

Wao wanajiona perfect kumbe waap

So wanabak kuzeekea single just wanapata wa kuosha rungu tu
 
Wadem km hawa ndo wanaishia kuzeeka single

Wao wanajiona perfect kumbe waap

So wanabak kuzeekea single just wanapata wa kuosha rungu tu
Na kwa bahati mbaya unakuta hata mtoto hana hlf uwezekano wa kufyatua haupo tena ,shida kweli kweli
 
Yaani nimecheka mie pia mdogo wangu na nimejikuta navuta picha huyo mwanaume anayekimbizana na wanafunzi kuwahi lift. Hahahaaaa.
Mtoa uzi kasema watoto wamesimamisha gari ile kusimama mbaba anakuwa wakwanza kukimbilia auwiii na ndevu anapumua jujuu si unasubilia gari za uma? Watoto hata nauli wanakuwa walishanunua bagia sasa mbaba, mtoa uzi wanamtusi lakini katoa tusema nini
 
Ila rafiki lakini lifti si wanataka kupewa wanafunzi sasa huyo jitu zima kama ni kweli anakimbilia nini?

Si angewahi kuamka. Teh teh.
Hapo sasa mpaka anawapiga vikumbo na viwiko watoto, huko mbele watoto watakuwa
walimshangaa kweli huyo babu yao
 
Back
Top Bottom