Siangaliagi SAFARI CHANNEL kwa sababu ya Mambo Kama haya ya kitoto kabisa

Siangaliagi SAFARI CHANNEL kwa sababu ya Mambo Kama haya ya kitoto kabisa

Nilichokiona kiona ni hilo jina chato sema hukutaka kufunguka zaidi.
Hata hivyo nchi hii ina vitu vingi sana vya kuonyesha asee sio huo upuuzi wanapswa kuonyeshwa usa huko.
Yaani inachosha kutazama haivutii waboreshe picha Moja sec kibao
 
Back
Top Bottom