Siasa Banah, Baba Levo ndo MBUNGE Bora mpaka Sasa kwenye Bunge la serikali iliyoingia madarakani 20 October?🤣😂

Siasa Banah, Baba Levo ndo MBUNGE Bora mpaka Sasa kwenye Bunge la serikali iliyoingia madarakani 20 October?🤣😂

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Mpaka sasahivi Baba Levo ndo MBUNGE Bora, anafatiwa na simai aliyemwambia Nchimbi ni msaliti🤣😂 kama ndo hivyo nauliza kwa Nini majeshi hamtaki watoto waliomaliza darasa la 7 wawe wabunge?

Baba Levo anatetea wanaume wanao pigwa na wake zao, anatetea boda boda, anatetea darasa sa Saba wenzake.

JE nani Bora kwako kati ya proffesa kabudi, Dr Bashiru, proffesa kitila mkumbo, na Baba Levo katika serikali ya awamu ya sita?
 
Wabunge wenye elimu ya kawaida huwa hawafichi hisia zao.
 
Kama ulikuwa hujui..huyo ndugu anaongea mambo ya kawaida sana ambayo wasomi wengi hawawezi zungumzia sababu ni mambo ya kawaida na madogo madogo tu, pili mtu yeyote ambaye hajasoma Huwa na vita yake mwenyewe ndani ya moto wake, yaani akifanya jambo lolote anakosa kujiamini huanza kujilinganisha na wasomi, hata akiwa na biashara hufanya huku anajilinganisha na wasomi, ndio maana hata mtaani mtu asiyesoma akifanikiwa kuwa na pesa muda mwingi huanza kuwasema wasomi ambao anawaona hawana pesa kama alizonazo yeye...Hawa watu wanakuwa na ushamba Fulani ktk mambo yao, ndio maana wasomi wengi wanakuwa hawana muda nao yaani hawashindani nao ktk mambo yoyote. Twende bungeni uone Kila wakichangia hoja wanajistukia na kujilinganisha na wasomi ambao wameamua kukaa kimya 😀😀😀. Kwa mambo ya kawaida wameachiwa wasiosoma wawe wanayazungumzia ili nao wapate kusikika kwamba wapo
 
Back
Top Bottom