Siasa bwana!! Hawa watu kama wiki moja iliyopita walikuwa wakitupiana madongo vikali sana ila ona leo utafikiri washkaji wakushibana

Hakuna tofauti worldwide sasa hivi ni kufanya lolote upate kura za kwenda kula...., Ni the same world over...
 
.kuu walitekana kama bongo,?
Sio kutekana tu, hadi kutundulisiana kulikuwepo lakini mwamba hakutoka kwenye reli...

Bongo wangeweka hiyo km ndo ajenda kuu ya uchaguzi ya kutafuta huruma ya wananchi na kuacha kunadi sera zao
 
Angeshinda mdemocrat harris tramp asingepiga picha naye kumpongeza. Hii picha imetokea kwa kuwa biden atamkabithi madaraka mrepublic tramp aliyeshinda urais, hakuna bifu hapa mambo ni shwari tu, tramp ana raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…