PreGE2025 Siasa chafu dhidi ya Mwigulu ni woga wa 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Credibility anayo ndio. Ila upepo Hana. Watu wakimwona wanamchukulia Kama mtu wa darasa la Saba ambae Hana mwelekeo na Ile skaf yake anavokimbia kimbia.
 
Chonde chonde jamani, fanya yote ila milima na barabara zetu usiziandike tena majina yako.
 
Tanzania sijui tunaelekea wapi... Wezi wanajikweza Ili waonekane ni wazalendo na muhimu kwa taifa!
Madelu kila akiwa waziri lazima Singidani kuwepo na timu ya soka!
Kwa sasa wamefanikiwa kujenga uwanja wao!
Mwamba mwenyewe ana mabasi ya kutosha!
Hizi ni ishara kwamba Tanzania viongozi wateule wana fedha nyingi balaa!
 
Ananyoosha vipi majina.? Ili iweje ?

watanzania wengi wa miaka ya 60 na 70 na miaka ya 80s walipitia challenge ya names sana. Ndio hao mtu anaitwa Pascal but ni muslim , Omary mkiristu, wale walio adopt local names were safe kama Jalaya.

Sisi wa 90s ndio tulianza usafi wa elimu kwenye names .

Changamoto ya elimu ilipelekea watu ku adopt names
Either kwa kutumia majina ya watu walioshindwa shule au waliokufa whatesover

Muhimu ni yeye alikaa darasani. Nadhan hata ile vetting ya JPM haikuwa inaangalia uhalali wa jina, ilikuwa inaangalia uhalali wa cheti na mwenye Jina, Jina halina maana yoyote….. hata ukitumia jina la
Mbwa ni sawa

huko jeshini na polisi wakuu wengi wanatumia majina ambayo sio yao ya kuzaliwa

Mfano, JK jina lake halisi ni Khalifan….. kwenye harakati alijikuta ana adopt jina la Jakaya

Kuhusu usafi wa Mwigulu….. I doubt

By
The way hakuna CCM msafi, Even JPM was not clean
 
2030 tayari kunaDr. Emma Nchimbi
 
Kikwete hajawahi kuwa underdog kwa Sumaye wala Mwandosya. Hata Salim kuanzia 1995 hajawahi kuwa mbele ya Kikwete kisiasa. Kumbuka JK angeweza kuwa Rais wa TZ kuanzia 1995.
Labda hujanielewa. Ni kwamba Mkapa hakujiandaa kumuachia Kikwette nchi, bali alijiandaa kumuachia kati ya Kigoda, Salim au Mwandosya. Ila Rostam na Lowasa na Nchimbi wakapindua meza muda wa lala salama
 
Mimi nipo tayari kumtetea Wakunshittu kama haya uliyoyaandika yana ukweli ndani yake !
Na nina uwezo mkubwa wa kuCrush hoja za hao wapinzani wake ! 🙏🙏 👍
 
Huyu jamaa nj mpumbavu sana.
Yaani utuibie halafu unatuona wajinga!!!.
Shenzi sana.
 
Kusoma na kua na akili ya kukalili hakumfanyi awe awesome leader
Ukitaka kujua kuwa Mwigulu siyo Presidential Material; angalia uamuzi wake wa kuandika mawe yote kwa njia ya Mwanza.

Hiyo ni akili ndogo sana. Akili ni ndogo kiasi cha kutojua kuwa watu wanaomteua mtu kugombea urais ni viongozi wacchache wa Chama chake. Na siyo umati wa watu wanaosoma mawe ya barabarani.
 
Nimekumbuka. Huu uandishi niwa Mwigulu mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…