Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Mtoa mada umeshindwa ata kujibu niambie nikusaidie
Nainga mkono hoja,ila tena hata mimi namkubali sana,Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!Hana skendo yoyote ya matumizi mabaya ya fedha za umma.
Hahaha noma sanaYaani Nape alikuwa na mwelekeo wa kuwa Rais wa nchi hii??😂😂😂
Samahani ndugu pascal, kumbe ccm hakuna demokrasia..? mnaratiba ya mgombea wa 2030 vipi vijana wengine wenye nia..?Mgombea urais 2030 kupitia CCM, tuliisha maliza siku nyingi!
P
System gani 🤣Mwigulu apambane kihalali kupata urais na sio kutaka kupita shortcut. Wakati wa mwanzo wa utawala huu Mwigulu alikuwa akifanya mikutano ya hadhara kama vile kampeni za urais. Nahisi system ilimpiga stop kwa sababu hakuendelea na huo upuuzi.
Rais wa MaweMwigulu hawezi kuja kuwa Rais wa Tanzania kamwe. Niko pale niite mbwa kama tutakuwa wote hai mwaka 2030.
Hana uwezo huo, labda awe Rais wa mawe
Nilikuwa nimeiweka kwa ajili yakoNiliitafuta hii comment, 😂😂😂😂
Bado unaota mkuu, yule ndio kaishia pale hasogei hata hatua moja mbele. Save my word.Nainga mkono hoja,ila tena hata mimi namkubali sana,Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!
ila anyooshe maelezo ya majina bandia anayotumia Uthibitisho: Mwigulu Nchemba ni majina bandia ila vyeti ni vya kweli
Mgombea urais 2030 kupitia CCM, tuliisha maliza siku nyingi, na huyu mhe,sio tishio!
P
Hamna kitu hapa pamoja na tantalila nyingi. Huyu atapotea kama walivyopotea kina Nyalandu au Januari.SIASA CHAFU DHIDI YA MWIGULU NI UOGA WA 2030.
Katika kila zama za siasa, kuna wanasiasa wachache wenye dira, msimamo, na rekodi safi ambao wanapopata umaarufu na kuwa tishio kwa wapinzani wao, huanza kushambuliwa kwa propaganda chafu, uvumi na hila ili kuwaharibia taswira yao kwa umma. Leo hii, Tanzania inashuhudia smear campaign ya wazi dhidi ya Dkt. Mwigulu Nchemba, Mwanasiasa mwenye rekodi safi, mwenye mchango mkubwa kwa nchi katika ujenzi wa kiuchumi na kiutawala, na ambaye bila shaka anaonekana kuwa endapo atatiania 2030 atakuwa tishio kubwa sana kwa maadui zake.
Kampeni hii inayofadhiliwa na genge la wapinzani wake wa ndani na nje ya chama chake, wakitumia mitandao ya kijamii na gazeti la mtandaoni lililoanzishwa kwa lengo moja tu – kumchafua. Wanatumia kila njia kumhusisha na ufisadi, pasipo hata punje moja ya ushahidi, huku wakipuuzia ripoti rasmi za CAG, Kamati ya PAC na LAAC ambazo hazijawahi kumtaja katika kashfa yoyote ya kifisadi.
Mwigulu ni kijana aliekuzwa vyema na Chama, kuanzia kuwa Rais wa Wachumi Vyuo Vikuu vinavyofundisha uchumi nchini, Mbaraza wa UVCCM, Naibu Katibu Mkuu CCM Taifa, Mchumi wa CCM Taifa, Naibu wa Fedha, Waziri wa Kilimo, Waziri wa Mambo ya Ndani, Waziri wa Katiba, na sasa Waziri wa Fedha. Uzoefu huu unawatisha wapinzani wake, kwani wanajua wazi kuwa amejengwa na Chama kuwa mmoja wa viongozi wa juu wa Taifa siku za usoni.
Huu sio mchezo mpya katika siasa – ni mbinu iliyotumiwa kwa miaka mingi duniani kote dhidi ya viongozi waadilifu wenye nafasi kubwa ya kushinda madaraka.
Haya yanayomkumba Dkt. Mwigulu Nchemba sio ya kipekee kwa Tanzania pekee, bali ni mkakati wa kawaida wa siasa chafu duniani kote.
✅ Nelson Mandela (Afrika Kusini)
Kabla ya kuwa Rais, wapinzani wake walimtengenezea tuhuma kuwa ni gaidi na hatari kwa taifa. Walitaka wananchi waogope kumchagua, lakini historia ilimhukumu kwa haki, na leo anaheshimika duniani.
✅ Barack Obama (Marekani)
Wakati akiwania Urais, wapinzani wake walieneza uongo kwamba hakuwa Mmarekani halisi, na alikuwa Mwislamu wa itikadi kali. Lengo lilikuwa kumfanya Wamarekani wamuogope na kumpinga. Hata hivyo, ukweli ulisimama, na akawa Rais wa kwanza mweusi wa Marekani.
✅ Uhuru Kenyatta (Kenya)
Kabla ya uchaguzi wa 2013, wapinzani wake walimhusisha na kesi ya ICC kwa madai ya kupanga vurugu za 2007/08, lakini baadaye ushahidi haukupatikana. Lengo lilikuwa kumzuia asiwe Rais wa Kenya.
Mbinu zote hizi zinatumika sasa dhidi ya Dkt. Mwigulu Nchemba – kwa sababu ni mwanasiasa anayewatia hofu wapinzani wake, ndani na nje ya chama chake.
KWA NINI WANAMCHAFUA DKT. MWIGULU NCHEMBA?
Ripoti zote za CAG, PAC, na LAAC hazijawahi kumtaja kwenye ufisadi.
Hana skendo yoyote ya matumizi mabaya ya fedha za umma.
Hajawahi kufutwa kazi kwa utovu wa nidhamu.
Kwa kuwa hawana chochote cha kweli cha kumshambulia, wameamua kutengeneza uongo kwa lengo moja tu – kumfanya aonekane mchafu kwa wananchi na chama chake.
Dkt. Mwigulu amekuwa Waziri wa Fedha aliyefanikisha ukuaji wa uchumi wa Tanzania kwa kiwango cha juu.
Ametekeleza nia ya Rais Samia Suluhu ya kuongeza mapato ya serikali, kudhibiti mfumuko wa bei, ambavyo vimeleta mageuzi makubwa ya kiuchumi.
Ni msomi mwenye PhD ya Uchumi, mwenye uwezo wa kuchambua sera za fedha na kuhakikisha taifa linakuwa imara kiuchumi.
Kwa wapinzani wake, ukweli huu ni tishio kubwa – hivyo wameamua kutumia mbinu za propaganda na siasa chafu.
Historia imetufundisha kuwa wanasiasa wa kweli wanaweza kuchafuliwa kwa muda mfupi, lakini ukweli huibuka hatimaye. Leo hii, Dkt. Mwigulu Nchemba anashambuliwa kwa sababu moja tu , Kiongozi Jasiri na tishio kwa wapinzani
➡ Hatuwezi kuruhusu siasa chafu kuficha ukweli wa utendaji wake bora.
➡ Tutaendelea kusimama na viongozi waadilifu wanaoleta maendeleo kwa Taifa letu.
➡ Tanzania inahitaji uongozi thabiti, si siasa za uongo na hila.
Unajitekenya na kujitia dole mwenyewe shwaini kabisa.

Hongera kwake..Hakika Dr.Mwigulu L.Nchemba ni mtu na nusu!
Kwa tunaomjua huyu ni Bingwa wa Uchumi na hesabu!
Uliza mtu yeyote aliyesoma Ilboru - Arusha na Mazengo High School- Dodoma.
Mtafuteni Professor Osoro au Dr. Ndashau pale University of Dar es Salaam wawambie nini Dr.Mwigulu alifanya pale UDSM.
Huyo ndiye Overall Best Student wa Mwaka wake katika kozi ya Uchumi.
Mwigulu ni mwadilifu,mnyenyekevu na hana makuu Kijana kutoka jamii ya kifugaji.
Dr.Mwigulu is one of the Best Economics brain we have as the Country at the moment.
Ahsantee.Nilikuwa nimeiweka kwa ajili yako
😹😹😹Mwigulu hawezi kuja kuwa Rais wa Tanzania kamwe. Niko pale niite mbwa kama tutakuwa wote hai mwaka 2030.
Hana uwezo huo, labda awe Rais wa mawe
kuna kitu mimi nakijua,wengi hamkijui,ila nimekiandika humu kama HII sauti ni sauti ya kweli,then 2025-2035 tumeisha maliza kazi, 2030 itakuwa ni mserereko!unless kama atajifunza kusikiliza hata vitu asivyovipenda kuvisikia, akiendelea kuwasikiliza machawa tuu, then ndioBado unaota mkuu, yule ndio kaishia pale hasogei hata hatua moja mbele. Save my word.
Kikwete hajawahi kuwa underdog kwa Sumaye wala Mwandosya. Hata Salim kuanzia 1995 hajawahi kuwa mbele ya Kikwete kisiasa. Kumbuka JK angeweza kuwa Rais wa TZ kuanzia 1995.Kikwete naye japo aliutaka lakini alikuwa underdog kwa Sumaye, Mwandosya na Salim Ahmed Salim.