Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Katika ulimwengu wa sayansi na technologia ni vigumu kuepuka assassination attempt. Ata US secrets service waliomlinda Trump walizidiwa.
Siasa chafu, kubambikiana ma kesi kunajenga chuki sana kwenye jamii. Nimepitia X nkaona kuna post hadi moyo wangu umeshtuka. Mtu anatangaza kufanya assassination hadharani.
Serikali simamieni haki Ili kutuepusha na hayo majangaa