Mbona kama ni wazi kabisa wanaCHADEMA wamekuwa subject wa manyanyaso nchi hii? Tatizo ni nini? Hawa wanaCHADEMA wana ubaya gani? Mbona mie mwenyewe wanangu ni wanaCHADEMA na sigombani nao pamoja na UCCM wangu? Tatizo liko wapi? Mbona tunajitengenezea mazingira mabaya hivi? Kwa nini inakuwa hivi? mbona kama CHADEMA wanazidi kupanda chati?
CHADEMA sio wasababishi wa kupanda gharama za miamala! CHADEMA hawajasababisha kutopanda kwa mishahara ya watumishi! CHADEMA hawajasababisha kupanda bei za mafuta! CHADEMA hawajasababisha kifo cha Mwendazake! CHADEMA sio chanzo cha waTanzania kugombea chanjo ya Covid! Wala hawakuwa chanzo cha Hamza kucharaza risasi!
Sasa hawa CHADEMA wana kosa gani? Hebu ninaomba wenzangu mnisaidie kuliona kosa la CHADEMA!