Siasa gani hizi! Hofu yote ya nini hii?

CUF, TLP na NCCR walipokuwa na nguvu kila mmoja alipitia wanachopitia Chadema hiyo ndiyo kawaida ya CCM na polisi. Mahita alipoona visu vyenye rangi kama za CUF akadai CUF wameingiza silaha nchini na kuzisambaza madukani! Mahita hajaanza leo utata.
 
Mhalifu akimuona mtu mwenye pingu lazima awe na hofu.
Vibaka wanailewa sana hii kanuni
 
Kazi ya police ni kupambana na Chadema
 
Makosa ya Chadema ni pamoja na
[emoji117]Kudai Katiba Mpya na
Tume huru ya
Uchaguzi
[emoji117]Kudai kufanya
Mikutano ya Hadhara
na ya Ndani
[emoji117]Kupendwa na
Wananchi
[emoji117]Kutokusifia kila
kinachofanywa na
CCM
hata kama
kinawaumiza
Wananchi km Utitiri
wa KODI
 
CHADEMA walifanya wrong timing to a right person.

Rais SSH alikuja kiuungwana kabisa.
Haina ubishi wanufaika wakubwa wa siku 100 za kwanza za Rais SSH walikuwa ni CDM, Mbowe na Mdude kwa maelekezo, falsafa na haiba ya Samia. Mpaka tukaandika threads nyingi za kusema "Mama anaupiga mwingi".

Nlitegemea Mbowe na Lissu watumie busara katika madai yao kwa kuwa wasikivu na wavumilivu pale Samia aliposema suala la Katiba lisubiri nijenge uchumi.

Duniani tunaishi kwa win- win situation. Kama Samia ameduta kesi za kubambikiza, Mahakama zimeanza kutenda haki, akaunti za Mbowe zimefunguliwa, uhuru wa maoni umeruhisiwa na hatua za kudhibiti COVID-19 zimeanza kuchukuliwa, hiyo ni WIN kwa CDM. Nilitegemea naye Rais SSH WIN yake iwe kusikiluzwa aliposema nataka nijenge uchumi kwanza.

On the contrary Mbowe na Lissu wakaanza kumfokea Rais kama vile ni mbunge wa BAWACHA??

Hakuna Serikali duniani inaweza kukuvumilia kwa UJINGA kama huo
 
Du. Aseee!
 
Chadema wana laana ya kuzunguka Duniani wakituombea watanzania tunyimwe misaada ili wananchi tupate shida na kuichukia serikali na hivyo tuinyime kura na kuiondoa madarakani.

Chagga development manifesto

Wanaongoza kwa siasa za matusi na kejeli bila kutoa sera au hoja mbadala.

Wanaongoza kwa matusi badala ya hoja, siasa za kihuni kihuni na hasira baada ya kuwekwa pembeni na wananchi 2020.
 
Huu ni uhuni na unafiki . Kusema ujenge uchumi kwanza. Uchumi umeanza kujengwa kuanzia awamu ya Nyerere , na haujawahi kuwa stable . Samia ndiyo aukamilishe kweli ?! Maghufuli alisingizia hicho hicho lakini mpaka anafariki tuaambiwa uchumi ulikuwa umeanguka toka 7% mpaka 4%. Huyu yeye ataweza kuujenga kwa siasa hizi za ki communist ?!
 
Wameomba mkataliwe kwa sababu zipi ziainishe . Miaka 60 baada ya uhuru bado ni masikini wa kusaidiwa kujenga matundu ya choo !!
 
Kwani nyie aliyewatuma Katiba ni nani? Lini na wapi wananchi walisema wanataka Katiba?

Wananchi wanataka maisha bora, watoto waende shule, wapate tiba, ajira, wauze mazao yao nk. Hiyo Katiba ni agenda za wanasiasa wanaotaka kuingia madarakani vis a vis wasiotakaka kutoka
 
Kwa wananchi wankaosa tiba, ajira na masoko ya mazao?
 
Tatizo ni ushetani wa bibi
 
Kwani uwepo wa katiba bora inawazuia nini kufanya hayo uliyoyataja hapo juu?.Kama uwezo hakina ni hakuna tu.toka mmeongoza hii nchi porojo ni hizo hizo kila siku mkishindwa mnatafita visingizio.
 
Hizo ni hila tu za Ccm na viongozi wake waliokosa fikra mpya zakulikomboa hili taifa ndo maana wanatumia hila kudhoofisha wapinzani wao kisiasa.Mambo mengine ni ushamba tu.
 
Hizo ni hila tu za Ccm na viongozi wake waliokosa fikra mpya zakulikomboa hili taifa ndo maana wanatumia hila kudhoofisha wapinzani wao kisiasa.Mambo mengine ni ushamba tu.
Nimependa ulivyomalizia. SO ushamba ndiyo tatizo hapa!
 
Kwani uwepo wa katiba bora inawazuia nini kufanya hayo uliyoyataja hapo juu?.Kama uwezo hakina ni hakuna tu.toka mmeongoza hii nchi porojo ni hizo hizo kila siku mkishindwa mnatafita visingizio.
 
Kosa lao ni kudai katiba mpya huu ni ugaidi unaambiwa
 
Tatizo CCM wameiba sana. Wa naogopa Chadema ikuchukua nchi maslahi yao yataenda na maji. Mtu kama Kina a na January siyo eti walimpenda Jiwe wakakesha usiku kucha kuiba matokeo ya 2015 kura. Ni kwasababu chama kubaki hili walindwe. Kina mtu mmoja tu anaingia kontena 700 umeona wapi? Wako radhi kuua wabaki madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…