Siasa imeendelea kupenyezwa kwenye michezo bila kujali athari zake mbeleni, mpaka Tanzania tufungiwe ndio akili zitakaa sawa!

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Sasa kaka walio beba mabango wamezidi miaka 18 na kwa ujinga wao au njaa zao wanefanya hvyo tuseme wewe kama niwanao unawafanyaje?
 
Aiseeee....
 
Hao niwatu wao wala sio washabiki wasoka, naingekua niyachama kingine getini wasingepita
 
Tanzania tumefika kubaya kila kitu sasa kimegeuka siasa.
Nawalaumu watawala kwa kuwachekea machawa impact yake itakuwa kubwa sana ipo siku na wao watawachukia machawa wakiwa hawako madarakani. Sasa hivi inawafurahisha kwa sababu inawanufaisha ila wakiondoka madarakani ndipo wataona shida ilipo.
 
Sasa kaka walio beba mabango wamezidi miaka 18 na kwa ujinga wao au njaa zao wanefanya hvyo tuseme wewe kama niwanao unawafanyaje?
Fifa sio wajinga kupinga harakati za kisiasa katika michezo. Kwani hawajui wote ni watu wazima.?
 
Wananchi kupuuzia zoezi la kujiandikisha linawaumiza sana vichwa na bibi chaudele mwenyewe anajua ni kiasi gani hakubaliki na wengi sasa hizo ni "mbunu" ili angalau wajifariji
Kama yangekua ni mabango ya vyama vya upinzani kwanza kabisa ambao wangekua wameyabeba sasa hivi wangekua ICU na wodi zingine kwa sababu ya kipigo kikali kutoka kwa policcm
 
Siasa za Tanzania zinapitia kipindi kigumu sana.
 
Wana CCM huwa hawaachi kupiga kura,na hapo ndipo CCM hupiga bao,hizo hamasa za kujiandikisha ni kwa nyie msioipenda CCM
 
Sheria za FiFA hazizuii shabiki kuwa na upande wowote wa kisiasa kinachokatazwa ni mamlaka za kisiasa uingilia Sheria za Fifa

Kwahiyo hapo hamna sababu yoyote ya kufungiwa
 
Wana CCM huwa hawaachi kupiga kura,na hapo ndipo CCM hupiga bao,hizo hamasa za kujiandikisha ni kwa nyie msioipenda CCM
Hizo hamasa ni kwa ajili ya kuhamasisha watu wenye akili timamu wanao jitambua ambao wameamua kuachana na maigizo yanayoitwa uchaguzi
 
Tufungiwe tuu kama marefa wenyewe ni kama kina Kayoko...
Shweinziiii
 
Hapana hayo mabango yanahamasisha uchaguzi wa serikali za mitaa na siyo serikali kuwaingilia tff katika maamuzi yao.mbona goli la mama na anapomlipa kocha wataifa stars hamsemi kuwa mtafungiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…