Siasa imeharibu miradi ya maji kichefuchefu nchini

Siasa imeharibu miradi ya maji kichefuchefu nchini

Paf

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
1,703
Reaction score
3,307
Miaka nenda rudi majimaji,maziwa,mito na mabwawa yamejaa.

Wamisionari walijenga miradi ya maji miaka mingi lakini bado inadumu na inafanya kazi.

Miradi kichefuchefu nani husababisha.
 
Unateua makada wa chama kusimamia ofisi za umma uku wakiwa hawana weledi unategemea utendaji kazi wenye ufanisi mkuu?
 
Back
Top Bottom