TigoMtandao gani huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TigoMtandao gani huo
Kwangu tigo vimerudi vilevile,elf 2 gb 1 na juzi ilikua elf 2 gb 800Vimerudi kama zamani kwa majina tu ila data imepungua by half, hii ni kwa upande wa voda nazungumzia sijajua kwingine
Elfu 2 Gb 800!!!! You must be in a deep slumber my friend.Kwangu tigo vimerudi vilevile,elf 2 gb 1 na juzi ilikua elf 2 gb 800
Acha uhuni, utalia na kujitoa ufahamiMbona kwangu vifurushi vimesharudi kama zamani?
Huu mpango wakupandisha bei ni wa hayati .kama kawaida yake aijalisha biashara inakufa au laa .ndio matokeo yanayo tukuta sasaDawa ni kususua hivyo vifurushi vyao
Tuone sasa hizo trillion 2 walizoweka kama target kwa kodi ya mlalahoi kama zitafikiwa
Shetani huyu Slaa anapalilia tumbo lake tuu .Dr. Silaa amesema hiyo bei ya vifurushi vipya ni sawa kabisa kwa sababu serikali inataka mapato ya kodi yapae hadi trln 2. Mnaolalamika siyo wazalendo.