Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Mbwa anatumia jicho la chatu kutafuta uelekeo4. Mbwa anatembea huku amemezwa.
5. Najaribu kulitazama jicho la chatu nimebaki nimeduwa sielewi kwanini liko hivo.
Huyo sio chatu ila ni green mambaMbwa anatumia jicho la chatu kutafuta uelekeo
Green mamba hamezi mbwaHuyo sio chati ila ni green mamba
Hapo mbwa ndio anaendesha kila kitu chatu hana la kufananya.View attachment 2544444
1. Yaani hapo kuna mbwa na chatu.
2. Chatu amemmeza mbwa.
3. Miguu ya mbwa imetoboa tumbo la chatu.
4. Mbwa anatembea huku amemezwa.
5. Najaribu kulitazama jicho la chatu nimebaki nimeduwa sielewi kwanini liko hivo.
Kulingana na picha hapo juu,View attachment 2544444
1. Yaani hapo kuna mbwa na chatu.
2. Chatu amemmeza mbwa.
3. Miguu ya mbwa imetoboa tumbo la chatu.
4. Mbwa anatembea huku amemezwa.
5. Najaribu kulitazama jicho la chatu nimebaki nimeduwa sielewi kwanini liko hivo.
CCM (CHATU), MIGUU YA MBWA (MIHIMILI YA DOLA + WANANCHI)... CCM(CHATU) imemeza mihimili yote ya dola pamoja na wananchi wake wote.. Huo uelekeo wa chatu na miguu ya mbwa kuwa tofauti - Hii inaamanisha DIRA ya Taifa na Dira ya chama tawala kwasasa ni tofauti kichwa cha CHATU(Rais) kinaonekana kuingalia miguu ya mbwa kana kwamba imemzidi nguvu ya uelekeo wake na sasa anatafakari namna ya kuishinda hiyo nguvu japo ni kama kashachelewa maana MBWA HAJAFA na sasa anapata wasiwasi kuwa tayari kashakosea na yeye yupo kwenye hatari ya kufa(kupoteza nguvu aliyo nayo madarakani).View attachment 2544444
1. Yaani hapo kuna mbwa na chatu.
2. Chatu amemmeza mbwa.
3. Miguu ya mbwa imetoboa tumbo la chatu.
4. Mbwa anatembea huku amemezwa.
5. Najaribu kulitazama jicho la chatu nimebaki nimeduwa sielewi kwanini liko hivo.
Apewe tuzo ya kukuchanganyaView attachment 2544444
1. Yaani hapo kuna mbwa na chatu.
2. Chatu amemmeza mbwa.
3. Miguu ya mbwa imetoboa tumbo la chatu.
4. Mbwa anatembea huku amemezwa.
5. Najaribu kulitazama jicho la chatu nimebaki nimeduwa sielewi kwanini liko hivo.
Chadema ni msumari wenye kutu huwezi kuumeza,,vinginevyo mnakufa woteView attachment 2544444
1. Yaani hapo kuna mbwa na chatu.
2. Chatu amemmeza mbwa.
3. Miguu ya mbwa imetoboa tumbo la chatu.
4. Mbwa anatembea huku amemezwa.
5. Najaribu kulitazama jicho la chatu nimebaki nimeduwa sielewi kwanini liko hivo.
100%Tafsiri
Chadema wamejisalimisha kwa CCM na sasa CCM inawapeleka Chadema inapo taka mbaya zaidi CCM inawarudisha nyuma chadema inawezekana wakafa kabisa kwa sababu CCM wameingia ndani na wameshaharibu mifumo Yao yote. Kuanzia upuaji hadi mmeng'enyo wa Chakula ina maana mpaka Leo Chadema hawana moyo maini wala figo. WAMEKWISHA. SALUTE KWA KIPANYA.
Nmejaribu kutafsiri[emoji23][emoji23]
Anaendesha kwenda wapi wakati hata haoni anakoendaHapo mbwa ndio anaendesha kila kitu chatu hana la kufananya.
Kwisa ona chatu narembua macho? Mbado.5. Najaribu kulitazama jicho la chatu nimebaki nimeduwa sielewi kwanini liko hivo.
CDM hawajafa ndomana wanaembea Bado.Tafsiri
Chadema wamejisalimisha kwa CCM na sasa CCM inawapeleka Chadema inapo taka mbaya zaidi CCM inawarudisha nyuma chadema inawezekana wakafa kabisa kwa sababu CCM wameingia ndani na wameshaharibu mifumo Yao yote. Kuanzia upuaji hadi mmeng'enyo wa Chakula ina maana mpaka Leo Chadema hawana moyo maini wala figo. WAMEKWISHA. SALUTE KWA KIPANYA.
Nmejaribu kutafsiri[emoji23][emoji23]
Ukiielewa maana yake hujaielewa...Kila nikitafakari akili inazunguka tu; Nimekubali sio lazima kuelewa kila kitu.