Siasa: Kama hii katuni ya chatu na mbwa imechorwa na Masood Kipanya basi anapaswa kupewa tuzo ya kutuchanganya

View attachment 2544444

1. Yaani hapo kuna mbwa na chatu.
2. Chatu amemmeza mbwa.
3. Miguu ya mbwa imetoboa tumbo la chatu.
4. Mbwa anatembea huku amemezwa.
5. Najaribu kulitazama jicho la chatu nimebaki nimeduwa sielewi kwanini liko hivo.
Mama kameza Chadema akifikiri kawaweza kumbe wenzake wameshaona yalipo madhaifu wanavumilia Kama hawana malengo kumbe wanasubiria siku zifike wamalize kutoa kichwa Mama akishutuka tayari tumbo tupu Hana Wafuasi aliwakumbatia wamemrarua.
Mpinzani hakumbatiki.

Ukimkumbatia Mpinzani wako lazima akurarue tu maana naye anataka nafasi yako.
 
Naona huko sahihi
 
Duh !! Ngoja tuone !!
 
CCM (Chatu)wameimeza CDM( mbwa) ila Chatu hana uwezo tena wa kutambaa,mbwa ndiye anayempeleka japo haoni uelekeo😂😂. Mwisho wa game Chatu ameshatobolewa tumbo atakufa tu na akioza mbwa anatoka na kusonga mbele😂😂
Utabiri. !
 
Fichaujinga na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…