anti-Glazer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 291
- 482
Nonsense x1000Nonsense.
Kama vp acha kazi kalime mwl!Somo la hesabu wanafunzi wanafeli sana, wapeni waalimu motisha ili wawe na Ari ya kufundisha. Itangazwe tu kama mlivyofanya kwa wachezaji tuone!!
Kwani mshahara hamlipwi tena mapema trh22Laki mbili nyingi wape hata laki moja
Mwalimu wako alipewa motisha? Mbona ulifaulu hesabu?Somo la hesabu wanafunzi wanafeli sana, wapeni waalimu motisha ili wawe na Ari ya kufundisha. Itangazwe tu kama mlivyofanya kwa wachezaji tuone!!
Pamoja na kashfa za kuuza dawa.Laki mbili nyingi wape hata laki moja