Siasa Michezoni (Simba vs Al Ahly): Azam TV wanapaswa kuonywa, kuadhibiwa au kufungiwa!

Wewe ni mjinga tu. Sasa ulitaka ule unyama wa israel usipingwe sa wewe unawapenda wayahudi?
 
Kwa taarifa yako palestine ikiwa koloni la uingereza waliishi waislaam wakristo na wayahudi kwa amani hadi marekani wakiungwa mkono na uingereza walipokuja na wazo la kupandikiza wayahufi feki iwe kama mojawapo ya jimbo la marekani ili kulinda maslahi ya nchi za magharibi mashariki ya kati.
 
Hata huko kwa wakubwa wa Dunia Amerika na Uingereza watu wanaandamana na kuonyesha mabango ya hisia zao na hakuna shida yeyote. !!
Usilolijua ni Usiku wa giza !!
Kilichotokea tunaona nchi za magharibi silaha na jeshi lote linatapigana dhidi ya palestina wanaotumia silaha za jadi. Hadi leo wanabomoa nyumba na kuua watoto lkn jeshi la palestina halijaguswa. Allah akbar

Quote
 
Azam hana kosa.

Kuna na wengine huku labda kawashtaki kwa Mungu:

Attachments

  • Screenshot_20231021_120524_Firefox.jpg
    190.4 KB · Views: 2
AZAM ni wadini sana, nshasema AZAM hawana ETHICS za habari. Matangazo yao yapo kidini zaidi na sijajua kwanini Wasirivoke leseni yao ya matangazo kutoka kuwa chombo cha habari cha kijamii SECULAR na kuwa cha kidini non SECULAR.
Issues za Palestine na udini wapi na wapi? kama mwanadamu lazima uguswe na kinachoendelea Middle East haijalishi uislamu wala ukristo, ifikie kipindi tuwe waelewa.

Kama wewe sio mdini kwa nini unalalama?
 
Sio kweli mbona Mabango ya Ukraine yanawekwa live na hadi kwenye jezi sijawahi kuona timu zikifungiwa?
Achana na mabango mkuu
Hao FIFA anaowatetea waliifungia Russia kwenye soka,
Hebu atueleze sasa hapo FIFA walikua wanafanya nn
 
Issues za Palestine na udini wapi na wapi? kama mwanadamu lazima uguswe na kinachoendelea Middle East haijalishi uislamu wala ukristo, ifikie kipindi tuwe waelewa.

Kama wewe sio mdini kwa nini unalalama?
Ndio maana Dunia bado inamkumbuka Hitler kwa ukatili aliowafanyia wayahudi !!
Ukatili sio jambo jema !! Kosa moja halihalalishi kufanywa kosa jingine !!
 
Liliandikwaje!!??
 
Watu wameonesha hisia zao tatizo Nini? Mtoa madam Acha woga wazungu wasitawale fikra zako kijana
Shida siyo watu kuonesha hisia, wakati wa kuchukua video au picha za matukio za mpira kuna taratibu na sheria ili lengo la mpira usiharibike.

Ebu fikiria wanaoisapoti Israel nao wangeingia na mabango zao humo kweli maana ya burudani ingekwepo?
Walichofanya Azam ni sawa na kuonesha picha ya mchazaji alievunjika uwanjani huku miguu ikichuruzika damu kitu ambacho hakitakiwi, iwapo kamera imeinasa kwa bahati mbaya unatakiwa kuiondoa kwa uharaka na baadae inafutwa.
 
Watanganyika tunamatatizo sana, inawezekana Azam wanamakosa au hawana ila kwanini sisi wakazi wa Kazulamimba,Matombo,kisemvule,Kitelewasink tunauona huo mgogoro kwetu ni very sensitive kiasi hiki wakati kila siku waafrica wenzetu wanakufa hapo Congo,Sudan na maeneo kadhaa hapa hapa barani kwetu,kwamba wale ni special sana? Tukombolewe kifikra,yaani watu mnatunisha misuri kubishana........ kwakweli mablack tunashida kubwa sana
 
AZAM ni wadini sana, nshasema AZAM hawana ETHICS za habari. Matangazo yao yapo kidini zaidi na sijajua kwanini Wasirivoke leseni yao ya matangazo kutoka kuwa chombo cha habari cha kijamii SECULAR na kuwa cha kidini non SECULAR.
Asilimia 70 ya watangazaji wa Azam ni wakristo huku wamiliki ni waislam. Bado tu Azam wanaitwa wadini!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…