Siasa na walimu wapya 2020, hajapewa hela ya kujikimu wala mshahara mwaka huu

Sio hao tu, kuna baadhi ya halmashauri hazijawahi toa pesa ya kujikim ya ajira za 2017 mpka leo yamebaki kua madai
 
Halimashauri ya Mbinga mji huwa hawatoi pesa ya kujikimu na mshahaa na huwa wanachelewesha vibaya kuna Mkururugenzi mtata halafu mchawi kinyama
 
Halimashauri ya mbinga mji huwa hawatoi pesa ya kujikimu na mshahaa ra huwa wanachelewesha vibaya kuna mkulurugenzi mtata halafu mchawi kinyama
Huyo mchawi ningekuwa kwenye halmashauri hyo ningemkomesha
 
Ukimletea zengwe tuuu anakubonyeza mazima kila kitu ni yeye anafanya ukiiiingia katika anga zake utajuta kumjua
Sijawahi kumuogopa mchawi hata siku moja.Nimekulia Kibondo ndani ndani huko ambapo kuna viwanda vya kutengeneza ndumba
 
Hata huku halmashauri ya chato-geita geita walim hawajapata pesa ya kujikimu yaani shida tupu

Sijui shida ninini?

Inaondoa molari ya kazi kiukweli
 
Ndugu hyo pesa ina mazingaombwe mengi sana na mbaya zaid huwa haijulikan hasa ni kiasi gan???
 
Hahaaaa
 
Hakuna hyo kitu,nakumbuka ule msoto wa miez mitatu nilioupata na mpka leo unaambiwa mambo.yanachakatwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…