Kwa hiyo ,tunaweza kuamua kufuata katiba hata kama katiba imeruhusu kitu kisicho na manufaaa?Naomba unijibu hoja zifuatazo:Je kufanya mikutano kila siku kutaweza kuwasaidia wananchi kupata pesa za kujikimu?Je ,mikutano hiyo ,ya siasa itawasaidia vijana kupata ajira?Je kwanini nchi za ulaya vyama vya siasa vinafanya mikutano wakati wa uchaguzi tu?Je ,watanzania wengi wanapenda soga kuliko kufanya kazi?