Siasa ni chanzo kikubwa cha umasikini Tanzania

Siasa ni chanzo kikubwa cha umasikini Tanzania

politics ina maana kubwa hakuna anaeiweza kuitafsiri..hivyo hata ukienda china wao wanajua tafsiri nyengine ya siasa ila wapo wanazuoni wameweka viashiria tu,ili kudetermine politics..ndiyo maana hata TZ ukisema hakuna siasa unajidanganya mwenyewe.
Sema hujui tulia, tafsiri ni moja itekelezaji tofauti
 
mie naona siasa in generally ni biashara ya utapeli ila kutokana na ongezeko la watu ,a fujo za kidunia acha iwepo tu.
Siasa zimekuwepo duniani tangu binadamu walipoanza kuwa na mifumo ya kujitawala.
Uchifu, Ufalme, udikteta n.k ni siasa.
 
Back
Top Bottom