miviga JF-Expert Member Joined Jan 27, 2024 Posts 1,721 Reaction score 6,037 Feb 4, 2024 #21 Mhafidhina07 said: politics ina maana kubwa hakuna anaeiweza kuitafsiri..hivyo hata ukienda china wao wanajua tafsiri nyengine ya siasa ila wapo wanazuoni wameweka viashiria tu,ili kudetermine politics..ndiyo maana hata TZ ukisema hakuna siasa unajidanganya mwenyewe. Click to expand... Sema hujui tulia, tafsiri ni moja itekelezaji tofauti
Mhafidhina07 said: politics ina maana kubwa hakuna anaeiweza kuitafsiri..hivyo hata ukienda china wao wanajua tafsiri nyengine ya siasa ila wapo wanazuoni wameweka viashiria tu,ili kudetermine politics..ndiyo maana hata TZ ukisema hakuna siasa unajidanganya mwenyewe. Click to expand... Sema hujui tulia, tafsiri ni moja itekelezaji tofauti
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Feb 4, 2024 #22 Mhafidhina07 said: mie naona siasa in generally ni biashara ya utapeli ila kutokana na ongezeko la watu ,a fujo za kidunia acha iwepo tu. Click to expand... Siasa zimekuwepo duniani tangu binadamu walipoanza kuwa na mifumo ya kujitawala. Uchifu, Ufalme, udikteta n.k ni siasa.
Mhafidhina07 said: mie naona siasa in generally ni biashara ya utapeli ila kutokana na ongezeko la watu ,a fujo za kidunia acha iwepo tu. Click to expand... Siasa zimekuwepo duniani tangu binadamu walipoanza kuwa na mifumo ya kujitawala. Uchifu, Ufalme, udikteta n.k ni siasa.
Mhafidhina07 JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 3,340 Reaction score 4,659 Feb 5, 2024 Thread starter #23 TIMING said: Can you define siasa for me? Click to expand... siasa ni nguvu,sera,ushawishi na hata sheria.
TIMING said: Can you define siasa for me? Click to expand... siasa ni nguvu,sera,ushawishi na hata sheria.
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 28,186 Reaction score 15,549 Feb 5, 2024 #24 Mhafidhina07 said: siasa ni nguvu,sera,ushawishi na hata sheria. Click to expand... Nadharia