siasa ni dili ,hawagombei ili washike dola! wanagombea wapate hela!

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Utaona wakati wa kampeni wagombea watamiminika kutoka kusikojulikana! hata waliokimbia nchi watarudi, kwa nini? Kwa sababu kwenye kampeni kuna ulaji mkubwa, sisi oya oya! ndio tunakuwa wapiga makelele, lakini hawapo sirias na kile wanatuaminisha!

Wapata wafadhili lukuki wakati huo !watu wanakatwa huku wanakimbilia kule na maburungutu ya fedha!wakifika huko wanakaa! wanagawana wakubwa, sisi oya oya tunapigwa mabomu, kampeni zikiisha mnaambiwa mkalinde kura! Wao wanapigana pasu habari kwisha!
 
Ndiyo unafahamu leo? We mtoto wa nursery
 
bora mm wa nursery ! wewe wa chuo umesaidia nn kwenye taifa lako?
 
Mi pia huwa nawaza hivi, huwa naona siasa kama sio kitu cha kweli....ni maigizo tu.
 
Wanasiasa wote lao ni moja. Wanatafuta fursa kupitia matatizo ya watu.

Wakija kuomba ajira kwa wananchi wanakuwa wapole hao ila wakipata tu wanaleta dhihaka na madharau. Hasa hawa wa kijani.
 
Hawaji kuomba ajira. Wanatumia pesa kununuwa kura. Ni kama malipo kabla ya kufanya kazi.
Baada ya uchaguzi kwa walioshinda inakuwa muda wao kurudisha uwezekaji wao na kutengeneza faida. Kwa vile tulilipwa mwanzoni basi sioni haki yetu ya kuwadai kutufanyia chochote.
 

Hao wasiopigwa mabomu na kupora kura wao hawagombei kupata hela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…