Nashangaa siasa za Ulimwengu huu.Hasa KENYA na TANZANIA.
Mbona malalamiko mengi?
Kila chama kinalalamikia chama kingine hata kama hawaonyeshi njia m'badala.
Viongozi kulaumiana,
Maamuzi kulaumiwa.
Sera kulaumiwa, n.k
Au hiyo ndo siasa yenyewe?

Nchi zote ni hivyo kunapokuwa na vyama vingi. Hakuna jema linalofanywa na adui yako bana. Akishiba, kavimbiwa Akinywa, kalewa Akisema, karopoka! Ndio siasa, mbona hata America zilitawala sana, hasa wakati wa kampeni!