SIASA ni MALALAMIKO?

SIASA ni MALALAMIKO?

Exaud J. Makyao

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2008
Posts
1,518
Reaction score
24
Nashangaa siasa za Ulimwengu huu.Hasa KENYA na TANZANIA.
Mbona malalamiko mengi?
Kila chama kinalalamikia chama kingine hata kama hawaonyeshi njia m'badala.
Viongozi kulaumiana,
Maamuzi kulaumiwa.
Sera kulaumiwa, n.k
Au hiyo ndo siasa yenyewe?
 
Nchi zote ni hivyo kunapokuwa na vyama vingi.
Hakuna jema linalofanywa na adui yako bana.
Akishiba, kavimbiwa
Akinywa, kalewa
Akisema, karopoka!
Ndio siasa, mbona hata America zilitawala sana, hasa wakati wa kampeni!
 
PAKAJIMMY,
Ama kweli siku zote Paka na panya hupingana.
Unadhani kuwa VYAMA VINGI NI MaTATIZO na kupotosha ukweli?
 
Back
Top Bottom