Haki mojawapo ni kufanya siasa bila kudhibitiana. Waliopo kwenye siasa kula siku wanatuambia sisi Wananchi tusilete/tusifanye sasa,kwa nini?Tunataka haki
Wanaosema hivyo niwajinga wachache wanataka kukutoa kwenye lengo kwani siasa nindio nimaisha nandio maana kunasisa yauchumi sukar sariji mabati Bei zinapangwa bungeniTunataka haki
Wanasiasa ndio wanatunga sheria. Sera na miongozo ya uongozi/utawala wa nchi lakini ni wao wanaotuhumiwa kujineemesha na hawataki wasio wanasiasa kufanya ama kuingia kwenye siasa, kwa nini?Siasa ni kazi zote zinazofanywa na mwanasiasa. Mwanasiasa au kiongozi wa kisiasa ni mtawala wa eneo fulani aliyechaguliwa au kuteuliwa na mamlaka kuongoza au kusimamia uongozi...
Siasa ni fani ya watu wabinafisi? Kwenye Siasa kuna maslahi mapana na security, Kazi yao kubwa ni kutumbua Mali, majipu na maisha!Siasa ni kazi zote zinazofanywa na mwanasiasa. Mwanasiasa au kiongozi wa kisiasa ni mtawala wa eneo fulani aliyechaguliwa au kuteuliwa na mamlaka kuongoza au kusimamia uongozi...
But some humans are prohibited to practice politics? The question is why?Every human being is a political animal
If you practice politics per uzalendo na nchi yako,no body will prohibit ur course.ila ukifanya siasa za ku maintain status yako na kusahau uzalendo,lazma uta kuwa prohibited.But some humans are prohibited to practice politics? The question is why?
Ni sanaa?Tumewaruhusu wasanii watutungie Sera na Sheria za nchi?Kwa nini,wengine waambiwe hatutaki siasa na wanasiasa?Siasa ni sanaa tu kama zile za maigizo ya bongo muvi, mieleka kule marekani, filamu za kinigeria, hollwood, kichina, kifilipino, kihindi, nk.
Kamwe usiwaamini wanasiasa kwa chochote kile watakacho kuambia.
How about opposition party leaders? Should they abide to what ruling party wants? Why are they harassed?If you practice politics per uzalendo na nchi yako,no body will prohibit ur course.ila ukifanya siasa za ku maintain status yako na kusahau uzalendo,lazma uta kuwa prohibited.
They are not forced to abide with!they are free to abide to what ever they trust and believe! however they have to put 1st abt nationality.in fact it's not harassmen if they say so.they feel to be harassed bcoz the govt in some of their aspects/agenda's is against!,not to them,but to their act and agendas especial those which seems to pull back the country from stepping to improvent and development.take a look forexample abt mwal nyerere hydro power project, what they have been saying !!should the govt listen to whatever they argue!? My opinion the opposition part have to accept to move to the equilibrium,not always to be to one pole.How about opposition party leaders? Should they abide to what ruling party wants? Why are they harassed?
Kwa nini?Sistahili kuwa mwanasiasa?Je,siasa ni kitu kibaya au maalum kwa ajili ya baadhi ya watu pekee?Acha siasa mkuu