- Thread starter
- #21
Ndugu Ben,ahsante kwa kuliweka hilo jibu straightly.Wanasiasa hawa ambao hatutakiwi kuwaamini ni wepi?Je,ni hawa waliopo madarakani au wapinzani wao?Siasa ni sanaa tu kama zile za maigizo ya bongo muvi, mieleka kule marekani, filamu za kinigeria, hollwood, kichina, kifilipino, kihindi, nk.
Kamwe usiwaamini wanasiasa kwa chochote kile watakacho kuambia.
Kila msema kweli anaweza kuliweka sawa ili tuwatambue hawa wenzetu ambao licha ya sisi sote kufahamu kuwa hawaaminiki lakini tunawapatia nafasi ya kututawala,kutunga na kusimamia sera,sheria,kanuni na miongozo huku wakiamua hatma yetu kama nchi!
Are we serious,My Fellow Citizens?