Siasa ni nini? Nani anastahili kufanya siasa?

Siasa ni sanaa tu kama zile za maigizo ya bongo muvi, mieleka kule marekani, filamu za kinigeria, hollwood, kichina, kifilipino, kihindi, nk.

Kamwe usiwaamini wanasiasa kwa chochote kile watakacho kuambia.
Ndugu Ben,ahsante kwa kuliweka hilo jibu straightly.Wanasiasa hawa ambao hatutakiwi kuwaamini ni wepi?Je,ni hawa waliopo madarakani au wapinzani wao?
Kila msema kweli anaweza kuliweka sawa ili tuwatambue hawa wenzetu ambao licha ya sisi sote kufahamu kuwa hawaaminiki lakini tunawapatia nafasi ya kututawala,kutunga na kusimamia sera,sheria,kanuni na miongozo huku wakiamua hatma yetu kama nchi!
Are we serious,My Fellow Citizens?
 
Are u serious fellow?Was The JNHPP the only solution for power generation in the Country.
Most of those who opposed that project were not only opposition learders.I hope you are aware of this fact.
Being honest and realistic is the sign of humanity,isn't it!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…