Siasa safi huleta amani na maisha bora

Siasa safi huleta amani na maisha bora

tufahamishane

Member
Joined
Jun 22, 2024
Posts
28
Reaction score
30
Siasa safi lazima isababishe ya fuatayo
1: siasa safi itazaa tunda la Amani
2:Siasa safi itasababisha uchumi wa nchi husika Julia
3: Siasa safi inaruhusu Uhuru wa kujieleza
4:Siasa safi itaruhusu Uhuru katika Mahakama na vyombo vya habari
Siasa safi ni ustawi wa nchi na siasa safi nizao la katiba safi
 
Back
Top Bottom