Siasa safi imekosekana Jimbo langu la Iramba!

I salute you. Sioni hahlja ya wanairamba kuendelea kukabiliana kwa nafasi za uongozi kwa chuki. Ni muda muafaka Sasa tuunganishe mawazo na kuleta watu pamoja ili tujenge iramba.
Kuna wakati huwa natamani niitwe hata kwenye harambee tuchangie maendeleo lakini unakuta viongozi wakiingia wanachukua Hilo Kama lao peke Yao. Nawatakia kushirikisha wengine kwa hofu ya kuwa wapinzania wao. Hilo Ni Lisa, wewe uwe chadema,ccm au tlp ukishakuwa kiongozi sote tunapaswa tukuunge mkono Hadi uchaguzi mwingine. Miaka mitano itumike kujenga iramba.
 
Binafsi sion Kama inafaa kuwa haja wa wanairamba kuwa Nani awe mbunge na Nani asiwe. Yeye akipita asimame sawasawa na wengine hata waliokuwa wapinzani wake ili tuwe pamoja na tujenge iramba yetu. Nitamtafuta atakaye pita niongee naye tushauriane Kama atakuwa tayari. Sipendi kuona iramba inayopotea.
Uonana wakurugenzi, DC nk iramba wote hamna polite, hapo tusimamie.
 
Ni mtoto wa Mjungu yule alikuwaga Askofu nadhan ama majina yanafanana????
 
Maamuzi yapo mikononi mwenu wana Iramba. Wakati ukifika fanyeni maamuzi sahihi.
Huku jukwaani kila mtu analia na jimbo lake. Mimi naliwazia jimbo letu la Butihama huku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar za Siku Daud Mjungu!kumbe upo Kiomboi!
 
Na Moshi Tech ulienda na Cheti Feki Cha Form Four!
Yule nilikuwa namjibu tu kwa vile alivyoniuliza bila kusoma huko juu kuhusu elimu yangu. Ukweli mie kashule kdg nimegusa nina kaPhd kaka
 
Umenena neno zuri kwa Iramba yetu
 
We ongeaa hadi uchoke ila anayepanga nani agombee Ubunge jimbo lipi unamjua...

Kura za maoni kwa sasa hazina nafasi....mlishangilia sana chaguzi ndogo sasa zamu ni yenu....
 
We ongeaa hadi uchoke ila anayepanga nani agombee Ubunge jimbo lipi unamjua...

Kura za maoni kwa sasa hazina nafasi....mlishangilia sana chaguzi ndogo sasa zamu ni yenu....
Kweli na cha moto tutakiona Uchaguzi huu!
 
We ongeaa hadi uchoke ila anayepanga nani agombee Ubunge jimbo lipi unamjua...

Kura za maoni kwa sasa hazina nafasi....mlishangilia sana chaguzi ndogo sasa zamu ni yenu....
Kuna wakati natamani uchaguzi 2020 usiwepo, hii itaokoa maisha ya watu. Ukiangalia Kuna watu wameamua iwe isiwe watangazwe wao na wale wanaowataka. Hali hii italeta mvurugano katika uchaguzi na hata watu kuuliwa katika harakati za kutaka uchaguzi huru na haki.
 
Mayu umeliona hilo kumbe! Ndivyo hata kwa Mbunge wetu wa sasa sidhani kama anafikiria kuondoshwa kwa ushindani mzuri ama ndani ya chama ama nje. Nikikumbuka vurugu za wakati ule Ndago mpaka mauaji basi nasisimkwa sana na moyo wangu!
 
Tatizo kubwa la iramba na wanyiramba ni ubinafsi ,roho mbaya na ulafi
Hamtakaaa mwendelee kila mtakachopewa mtaharibu

Mmepewa Singida united mmejaza wachezaji wote akina mkumbo kinachoendelea mnakijua

Mmepewa kkk dayosis ya Kati mmekula hadi kero
Mmepewa mambo ya ndani mmeharibu

Yani ukikuta sehem kuna Mkumbo, kitundu ,sijui nani lyanga jua kunaupigaji
 
Roho
Roho mbaya na chuki vinakusumbua. Uelewa wako umeishia hapo...pole zako.
Kuna matatizo kisiasa mkoa wa singida kwa ujumla wake lakini wanyiramba ni moja ya waliouinua mkoa hata hapo unapoona upo sehemu kubwa Ni kazi Yao. Yes tunahitaji kubadili baadhi ya Mambo lakini si kwa mtazamo wako huu wa hovyo.
 
Mnapiga ngoma wenyewe mnacheza wenyewe na kujisifia wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…